Ni nini?Kuna ugonjwa unanisumbua sana.sijui unaaidia Nao au unajua kuutibu?
umebobea kwenye magonjwa Gani mkuu kwanza kabla sijataja gonjwa langu?
umebobea kwenye magonjwa Gani kwanza Ili nikutajie Kwa uhuru.Ni nini?
Gonno ama fangasi za mbupuni?
Muone 😃😃😃🙌hili nalo tulitazame😂
kwanini huna mchumba?😂 Hela ya kukusomesha itarudije?Muone 😃😃😃🙌
Hahah😂😂😂...nilishawarudishia hawanidai😃😃kwanini huna mchumba?😂 Hela ya kukusomesha itarudije?
Basi usini blockBlock labda aonekane kama msumbufu
Khaa ulivyomkazania mwenzio embu muache😂😂nakuambia Tena Acha tamaa.
Aisee, hongera.Kuwa single sio shida
Kwanini furaha yako itokee kwenye mahusiano? Kwamba yasipokuwepo unabaki na mood mbovu 24/7!!?
Hapa nilipo natafuta namna ya kumuacha mtu nakosa 😂😂
🤣🤣🤣Delete kila kinachomuhusu 😂😂
Kuna mtu nilidelete mpaka namba. Siku nikammiss, weee si nikaenda tafuta namba zake katika sms za M pesa alizokuwa ananitumia hela 😂😂🙌
Aisee,Hunaje?? Hata kama hakuwaga na ustaarabu wa kupiga picha, hapa atapiga! Na atanitumia, nitaziacha hapo kwa chatting. Nikimmiss namzoom. Tukigombana nafuta chats na mapicha yake yanapotea 😂😂
Eeh mwenzangu. Nikamtafuta tukapiga kitu cha rewind 🤣🤣
Una umri gani? Utavumilia tu.4yrs? Hongera 😂😂🙌
Siwezi vumilia matukio ndani ya miezi 6… mpaka kuna muda najiuliza nitaweza kweli mambo ya for better for worse, until death do us apart 🙌
🤣🤣mi sitii neno ila ukimtoa mtu kwenye maisha yako mtoe jumla usimbakize, wakazi gani kwenye status?
😂😂😀Nimeolewa lakini sio kivileee😊😊
au nasema uongo mkuu?
🤣au nasema uongo mkuu?
Mambo ephen
Poa mchina! Jisikie upo nyumbani😂Mambo ephen
Asante sana , nikaribishe na ngoma moja kali basi😊Poa mchina! Jisikie upo nyumbani😂