Lets be reall pipo, TUNATWANGA MAJI KWENE KINU EBO!

Abdulhalim

Platinum Member
Jul 20, 2007
17,193
3,011
Ukweli ni kwamba solution ya matatizo yetu ya kijamii kama taifa,
YAPO BEYOND THE PRESENT STATUS QUO.

Nimeona majuzikati hapa kuna forum imeanzishwa kuhusu uchaguzi wa mwaka huu Oktoba, na watu wengi wakaonesha kukubali na kuonesha matumaini kwamba forum itasaidia kwa namna moja au nyingine, blah blah blah blah.

Actually sikutaka kutia neno kule, maana sitaki kunyesha mvua kwenye mkusanyiko ule na kuharibu mood. Lakini lets face it, nothing NEW WILL BE ACHIEVED from such expensive but fruitless effort. Futility is the what we bounded to.

Nimeshaongelea siku za nyuma kwenye ile replica ya Monte Carlo Fallacy kwamba huezi ukafanya jambo lilelile na ukategemea matokeo tofauti (Einstein, karne iliyopita) and you can't gamble and win while we both know the game is ruled with the principle thatTHE HOUSE WINS ALWYS, and the house in this case is a STATUS QUO.

Hivi ni lini tutatoka nje ya hii indoctrination ya siasa na vikorombwezo vyake ambavyo havina warranti wala historia ya kutusaidia?

Naomba nijibiwe hapa.

Kuna wadau wapo optimistic wanategemea labda kwamba kukiwa na mabadiliko ya watu pale kwa ofisi kuu pengine kutakuwa na uhai mpya. This is a fallacy ambayo huhitaji kwenda mbali kujionea kilichojiri.

Tembelea Kenya ujionee kama KUNA JIPYA.
 
So true, people might call you a pessimist but i say you are a realist, lets face it people this is Africa, mimi sidhani kama ntaona maendeleo ya kweli kwenye this forsaken country in my lifetime, and that's saying alot since I'm only 20, real talk right there.
 
This kind of pessimism is what is keeping Africa in this "status quo". Mbona Kagame seems to be making steps in the right direction with Rwanda? Yes we can! All we need is good governance!
 
This kind of pessimism is what is keeping Africa in this "status quo". Mbona Kagame seems to be making steps in the right direction with Rwanda? Yes we can! All we need is good governance!

Good governance? With this generation of power hungry and greedy political leaders?? Fine perhaps a good leader is in existence (somewhere), the people aren't mentally and physically ready for this kind of change, but who knows, it's good to have people who hope though. lol
 
Yes, good governance! Unless if you have a better explanation than bad governance for why Africa is in the state it is in today despite the natural resources this continent is "made of" and the "aid" that we've been receiving since independence
 
So true, people might call you a pessimist but i say you are a realist, lets face it people this is Africa, mimi sidhani kama ntaona maendeleo ya kweli kwenye this forsaken country in my lifetime, and that's saying alot since I'm only 20, real talk right there.

Its pretty funny nimetoka kusema maneno kama haya kwenye thread nyingine..hapa

It is a chicken and egg, problem, vicious cycle of ideas au some kind of infinite loop. Ukishakuwa indoctrinated, unakuwa part and parcel of the social order na pengine unaeza kuanza kuitetea and then you can no longer differentiate the color.lol. I am lucky enough that I know what to expect with the current situation. It is sad but a fact.
 
Kweli kabisa tunatwanga maji kwenye kinu. Sasa kama tunataka mabadiliko tufanye nini! Tuingie msituni!
 
Kweli kabisa tunatwanga maji kwenye kinu. Sasa kama tunataka mabadiliko tufanye nini! Tuingie msituni!

Mdau,

Kugoma tu tumeshindwa, kushika mtutu ndo tutaweza...?.Mi nadhani mtutu sio suluhisho kwa sababu watu wengi bado hawamjui adui yao haswa ni nani. Nadhani adui yetu hahitaji binduki kuondolewa. Ni uelewa mpevu tu wa hali halisi ndio suluhisho la kudumu.

IMO, hao tunaojiaminisha kuwa ni 'wapenda mabadiliko', wao wenyewe hawajui waanzie wapi, na ndio maana wote mnajikuta mnaogelea kwenye majitaka hakuna wa kumcheka mwenzake. Ukitaka kutatua tatizo ni budi kwanza ujitoe kwenye level ya tatizo, walau KIFIKRA.
 
Back
Top Bottom