Let's be careful with people we mix our soul with

Well if you accept that there is s creator, then accept what he said about what he created. Unlike animals, the Lord God said he made man in his own likeness, and gave him authority over the rest of creation.
... na akawaambia "zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi" na njia pekee ya kuzaa na kuongezeka ni thrrough SEX! How dare you say sex inaleta laana? 🙁
 
He also said Do Not Eat the fruit. And they ate it.

So the Lord stepped aside and let man go his own way. Which has brought us here: people playing with poop and children not knowing what gender they are.

In the mean time he revealed his ways through his laws, he reaveled how he wants sex to be done. And that's between husband and wife / wives only.
 
We jamaa unajichanganya vibaya sana..

Mwanzo umesema sex inaleta nuksi na laana..

Baadae ukasema ukisex ili uzae ni sawa, otherwise sio sawa

Hapa unasema mke na mume ni sawa..

Kwahiyo mke na mume kipindi wakiwa hawataki watoto hawawezi ku sex?
 
Wewe unapenda ngono at unavyofikiria kunaonyesha unatetea sana ngono🫵
Mkuu, mimi napingana vikali na mtu yoyote anaekandia ngono.

Ngono ndio starehe pekee tuliyopewa na Mungu mwenyewe kuanzia siku anatuumba, na akatuamuru tuitumie ipasavyo! Sasa nawashangaa watu kuanza kuhusisha zawadi kutoka kwa mungu na mambo ya laana, nuksi nk. Hawa hawakosi watakua ndio wale manabii wa uongo tulioaswa tukae nao mbali.
 
We jamaa unajichanganya vibaya sana..

Mwanzo umesema sex inaleta nuksi na laana..

Baadae ukasema ukisex ili uzae ni sawa, otherwise sio sawa

Hapa unasema mke na mume ni sawa..

Kwahiyo mke na mume kipindi wakiwa hawataki watoto hawawezi ku sex?
Sex is for the married
 
Aisee wewe si tu ni mnyama ila ni kiazi.

Yaani wewe ni nyama na mboga. HAHAHAHA

Kwaheri.
 
... na akawaambia "zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi" na njia pekee ya kuzaa na kuongezeka ni thrrough SEX! How dare you say sex inaleta laana? 🙁
Huo mstari wa Bible mbona usiuandike full?

"Mungu AKAWABARIKIA[my emphasis], Mungu akawaambia, zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha, mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
(and you are here telling us binadamu is equal to mnyama?)
 
Kwani ukiambiwa ukatawale wanyama inakuondoaje wewe kwenye kuwa mnyama? Hapo manake ni mnyama mmoja kawekwa atawale wanyama wenzie nothing special about that..
 
Back
Top Bottom