Let's be careful with people we mix our soul with

Joined
Aug 26, 2025
Posts
63
Reaction score
114
Wachache watanielewa
Let's all keep in mind that life is spiritual
✍️For us to win in real life we must win in spiritual life

✍️Ili mtu akumalize... lazima akumalize kiroho kwanza then matokeo yanakuwa reflected in real life ....

✍️Watu tunajamiana nao wanaweza kutukuza kiroho au kututeketeza...

NB:mtu anaweza kutumia ngono kuondolea nuksi zake na mikosi

✍️Chukua nyota Yako kama nguvu Yako ya kiroho ipo chini...

Let's be careful with who we mix our soul with📌

Screenshot_20250829-171032.jpg
 
View attachment 3457716
Kuna Binti anakuja kupigwa dudu hapa, hayo ndio matarajio yake. Akija TU nampeleka bar, tunakaa huko ikifika saaa mbili namrudisha kwao. Kwamwe siwezi kumsaliti my Horizon Fina
 
Kweli au si kweli,kuna kitu kinaitwa cleansing ndio maana wanao amini(kweli) wanatumia njia zao kujitakasa moja wapo nasikia chumvi ya mawe ukioga inasaidia.Si kweli(wasioamini).Sex does involve physical contanct of body organs not spiritual part of human body
 
Yap Kuna njia nyingi za cleansing
1.salt and water bath cleansing
2. Egg cleansing
3.prayer is also a good form of cleansing
 
✍️Ili mtu akumalize... lazima akumalize kiroho kwanza then matokeo yanakuwa reflected in real life ....
Uko sahihi kabisa, na hapo ndio wazungu walipotukamatia. Matokeo yake waafrika hatuwezi kujadili kitu chochote bila kukihusisha na ushirikina!

Sex ni purely biological.. wanyama wote duniani wanafanya sex na hawapati laana, wala hawaibiwi nyota, ila mwafrika tu ndio akifanya inakua nongwa.
 
You can never compare a human being with an animal
Sex is more than pleasure dirung the act we exchange energy..trauma...karma and spiritual contracts
Only a few will understand
 
Back
Top Bottom