Let us know each other.......

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari wana jf mi nahitaji kuonana na marafiki waliokuwepo dar kwani nipo hapa kwa matembezi anaehic ana mda na anataka tufahamiane km marafiki anitumie no yk ya simu mi nitawasiliana nae
 
Aah wapi.......kirahisi hivyo........
Yaani hivyo tu basi.......?
 
Tunaogopa kutekwa kama Ulimboka alivyofanywa. Hali tete nchini!
 
Habari wana jf mi nahitaji kuonana na marafiki waliokuwepo dar kwani nipo hapa kwa matembezi anaehic ana mda na anataka tufahamiane km marafiki anitumie no yk ya simu mi nitawasiliana nae


Unataka namba za cm ili iwe rahisi kujua jina? Jipangeee!
 
Simu yangu ni top secret for national security.
Habari wana jf mi nahitaji kuonana na marafiki waliokuwepo dar kwani nipo hapa kwa matembezi anaehic ana mda na anataka tufahamiane km marafiki anitumie no yk ya simu mi nitawasiliana nae
 
Aah wapi.......kirahisi hivyo........
Yaani hivyo tu basi.......?

hahahaha haya ulivompinga duhh so aongeze juhudi kaa.kusema anakiasi kidogo labda cha moja moto moja baridi ama?
 
Sio mbaya nimekufahamuni samahanini kwa uaumbu
 
Usije ukawa jamaa wa TISS,,wengine tunaogopa msitu wa mabwepande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…