Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,108
Alianza kwa Bi Nyakomba akaenda kwa Vivian akamwagwa....
Na mtei walikumbana na SS Dah mtoto Smile akaamua kufall in love kwa SS na Mtei chaliiii
halafu hii LET it GO kwa Mtei inahitajika sana hata tukikutana kwenye Si-hasa yeye anaanzia kwenye kuibiwa mchumba ilhali hajaibiwa ni mipango na upendo tu!!