Lesotho wakishinda Taifa Stars itasonga mbele?

Lesotho akishinda taifa stars ndo basi tena;
Angalia msimamo wa kundi lao
Screenshot_2019-03-22-19-22-35.png
 
Attachments

  • Screenshot_2019-03-22-19-22-35.png
    Screenshot_2019-03-22-19-22-35.png
    123.5 KB · Views: 16
Lesotho akishinda taifa stars ndo basi tena;
Angalia msimamo wa kundi lao
Nimeangalia lakini nimeona imekaa kitaalamu mno, hebu nifafanulie nielewe. Maana nimeangalia nimeona kama sote tuna Poinnt tano tano. Maana hiyo wakishinda wote watakuwa na Pointi nane nane. Tatizo liko wapi?
 
Tatizo ni goal difference hapo ndo itaifanya taifa start iyaage mashindano
 
Sio goal difference bali head to head meatings.
Tumedroo nao hapa wakatuchapa kwao. Ukilinganisha wao wana point nne kati ya sita siai tuna moja kati ya sita.
Hawa watu wa hamasa sijui walikuwaga wapi enzi hizo. Hii mechi na lesotho ni kama haikuchezwa maana ilipooza kwa sababu haikutangazwa. Madhara ya kukumbuka shuka asubuhi tutang'atwa tu na mbu usiku.
 
Sasa nimeelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom