leseni ya udereva

mwaki pesile

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
340
487
Sect 87 RTA...."A police officer may after stopping any motor vehicle or trailer which he reasonably suspects of being or having been (driving without having d/licence) or used or involved in the commission of an offence , whether under this act or any other written law, order the driver thereof to drive it to the nearest convenient police station in order that....."

Sect 87 (d) RTA...."statement relevant to the suspected offence (failing to produce a d/licence for inspection as per sect 77 RTA) may be obtained and such vehicle may be detained until all necessary inquiries have been made in relation to the case ( kuileta leseni yake baada ya masaa 72 ( siku 3).

Sect 88 RTA....."No person shall make any statement when required to do so under this part which to his knowledge is false or in any respect misleading ..." utakuwa umetenda kosa kwa maana kwamba umepewa siku 3 kuleta/ kuonesha leseni yako ukijuwa kabisa huna/unadanganya na inapofika siku hizo unashindwa kutoa/ kuonesha leseni yako utaadhibiwa kwa kutoa taarifa ya uongo....

Sect 89 RTA , ADHABU
(a) failing to comply with or contravenes any requirement , direction or order made under this part ( kushindwa kuproduce d/licence baada ya siku 3).

(c) contravenes the provision of sect 77 RTA (kushindwa kutoa leseni kwa ukaguzi) or sect 88 RTA (kuonekana kutoa taarifa ya uongo baada ya kushindwa kuleta leseni yako baada ya masaa 3)

Adhabu yake ni kifungo kisichozidi miaka miwili jela au kulipa faini au vyote kwa pamoja

Kwa hivyo sasa .......

1. Hayo masaa 72 (siku 3) utapewa endapo utaacha gari kituoni au udhaminiwe na mtu anayefahamika katika eneo ulilokamatiwa ili uweze kwenda hizo siku 3 kuleta leseni yako (sect 87 RTA)

2. Kushindwa kutoa/kuleta na kuonesha leseni yko ndani ya siku 3 ni kuonekana umetoa taarifa ya uongo na kumletea usumbufu afisa wa polisi walipokuwa anasimamia utekelezaji wa kifungu 77 (sect 88 RTA)

3. Kosa la namna hilo adhamu yake ni kifungo miaka isiyozidi miaka 2 jela, au kulipa faini au vyote kwa pamoja ( sect 89 RTA)

*TUSIKIZARAU KIFUNGU CHA 77 RTA KINA MADHARA/UKAKASI MKUBWA ENDAPO KITAVUNJWA TEMBEA NA LESENI YAKO HAI (sect 19 RTA muda wote uendeshapo chombo cha moto)*

*l stand to be corrected.........*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sheria imepitwa na wakati kwasababu ilitungwa kabla ya leseni za kidijitali kuvinjari. Ni jukumu la polis kuwa na kanzu data ta leseni zote za madereva. Hivyo usumbufu uwepo pale tu mtakapopelekana kituoni. Mkifika huko uangaliwe uhalali wako kwenye kompyuta basiii. Au waweke kanzu data iwe wazi hata kwenye simu watu waweze kuangalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sect 87 RTA...."A police officer may after stopping any motor vehicle or trailer which he reasonably suspects of being or having been (driving without having d/licence) or used or involved in the commission of an offence , whether under this act or any other written law, order the driver thereof to drive it to the nearest convenient police station in order that....."

Sect 87 (d) RTA...."statement relevant to the suspected offence (failing to produce a d/licence for inspection as per sect 77 RTA) may be obtained and such vehicle may be detained until all necessary inquiries have been made in relation to the case ( kuileta leseni yake baada ya masaa 72 ( siku 3).

Sect 88 RTA....."No person shall make any statement when required to do so under this part which to his knowledge is false or in any respect misleading ..." utakuwa umetenda kosa kwa maana kwamba umepewa siku 3 kuleta/ kuonesha leseni yako ukijuwa kabisa huna/unadanganya na inapofika siku hizo unashindwa kutoa/ kuonesha leseni yako utaadhibiwa kwa kutoa taarifa ya uongo....

Sect 89 RTA , ADHABU
(a) failing to comply with or contravenes any requirement , direction or order made under this part ( kushindwa kuproduce d/licence baada ya siku 3).

(c) contravenes the provision of sect 77 RTA (kushindwa kutoa leseni kwa ukaguzi) or sect 88 RTA (kuonekana kutoa taarifa ya uongo baada ya kushindwa kuleta leseni yako baada ya masaa 3)

Adhabu yake ni kifungo kisichozidi miaka miwili jela au kulipa faini au vyote kwa pamoja

Kwa hivyo sasa .......

1. Hayo masaa 72 (siku 3) utapewa endapo utaacha gari kituoni au udhaminiwe na mtu anayefahamika katika eneo ulilokamatiwa ili uweze kwenda hizo siku 3 kuleta leseni yako (sect 87 RTA)

2. Kushindwa kutoa/kuleta na kuonesha leseni yko ndani ya siku 3 ni kuonekana umetoa taarifa ya uongo na kumletea usumbufu afisa wa polisi walipokuwa anasimamia utekelezaji wa kifungu 77 (sect 88 RTA)

3. Kosa la namna hilo adhamu yake ni kifungo miaka isiyozidi miaka 2 jela, au kulipa faini au vyote kwa pamoja ( sect 89 RTA)

*TUSIKIZARAU KIFUNGU CHA 77 RTA KINA MADHARA/UKAKASI MKUBWA ENDAPO KITAVUNJWA TEMBEA NA LESENI YAKO HAI (sect 19 RTA muda wote uendeshapo chombo cha moto)*

*l stand to be corrected.........*

Sent using Jamii Forums mobile app

wadau gharama za kurenew leseni kwa hivi sasa ni bei gani maana muswada wa kupandisha bei niliusikia mwez wa saba lakin sijajua kama umepitishwa au bado.naomba mwenye kufahamu anijuze
 
Back
Top Bottom