Leopard shotokan karate

Leopard shotokan karate

Ukifika kino pale kanisani upande wa shoto kama watokea magomeni kwa mbele kdg kabla ujaifikia ile yard ya magari karibu na kituo cha morocco kuna njia inashuka chini ni barabara ya lami so kule one way karibu na msikiti, ukiwa tyr nicheki pm nitaenda nawe kiongozi usjl kabiaa
Kino sehem gani
 
Yes zinaitwa kihon ni muhimu sn mkuu ukipata muda siku njoo dojo sema muda na mwenyewe ndio issue kdg maana ni saa moja Usk, kata ni muhim kwenye kupanda rank na pia inakusaidia kwenye kutafuta wepesi na kutoa maamuzi ya ghafla kwenye mapambano.
Yaaah nitakuja siku moja nijikumbushie kidogo heyan godan,basaidayo na kata nyingnezo kede kede mkuu
 
Yes unene sio tatizo kabisa mkuu jisikie amani ya moyo njoo ufanye training utaona mabadiliko makubwa sana.
Tena unene ukiiva vizuri unakuwa Ni hatareee balaaa yaan mtu akizungua ukitaka kumkarabati unapiga Kama hutaki vile japo si ruhusa kupigana Mana kisheria Ni kosa na kukiuka Miko ya dogo na miongozi osss
 
Ossss umesema kwel si ruhusa kupigana
Tena unene ukiiva vizuri unakuwa Ni hatareee balaaa yaan mtu akizungua ukitaka kumkarabati unapiga Kama hutaki vile japo si ruhusa kupigana Mana kisheria Ni kosa na kukiuka Miko ya dogo na miongozi osss
 
Ukifika kino pale kanisani upande wa shoto kama watokea magomeni kwa mbele kdg kabla ujaifikia ile yard ya magari karibu na kituo cha morocco kuna njia inashuka chini ni barabara ya lami so kule one way karibu na msikiti, ukiwa tyr nicheki pm nitaenda nawe kiongozi usjl kabiaa
Poa poa
 
Back
Top Bottom