rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,122
- 1,313
Kwa wale wapenzi wa martial arts, leopard inawatangazia nafasi za kujiunga ili upate mafunzo ya kujiamini na silaha na mazingira mbalimbali, leopard ina walimu wazuri na imeota wapiganaji wazuri tu kwenye sanaa hii ya mapigano chini ya SHIHAN PHILIP CHIKOKO 4DAN, muda wa mazoezi ni saa moja hadi tatu Usk, kwa wale wanaoanza kabia yaan white belt mafunzo ni siku tatu za wiki j4, alhmis na ijumaa, location ni Kinondoni.
Ada zetu ni 50k kwa mwezi
Form elfu 5000
Dojo (sehem ya mafunzo /darasa) likesajiliwa na kutambulika kisheria. kila baada ya miezi mitatu kutakuwa na mitihani kwa wanafunzi watakao kuwa wamefuzu kufanya mitihani, mitihani ni ya vitendo, pia kila baada ya miezi 3 kutakuwa na mashindano yatakayokusanya madojo yote Dar es Salam na nje ya dar es Salaam chini ya shirikisho la SKIF (SHOTOKAN KARATE FEDERATION )

ᵃʳᵉᵉᵐ 