Mchezaji hatari zaidi
Messi mpira ulimkubali sana ila nyavu zilimkataa, kwa kweli HART amepunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya magoli
Mahaba ni maradhi, kwa kweli alisuuzika sana kwa siku ile si vizuri kuwa nae karibu anaweza akakipiga teke kibahati mbaya kwa jinsi mdadi ulivyomkolea.Gadiola alishindwa kuzuia mahaba yake
Nakubali maneno yako.Messi ndiyo huwa ananifanya niangalie mpira wa Ulaya !ViNGINEVYO MIMI NI SIMBA VS YANGA TU NA MCHANGANI
Barca hii ya kina Decco ilikuwa ina vipaji.