Mchezaji hatari zaidi
Ile tobo mpaka Gadiola alishindwa kujizuia kwa kweli ilikuwa tamu sanaJana kampiga tobo ya hatari Milner wa Man City.
Messi mpira ulimkubali sana ila nyavu zilimkataa, kwa kweli HART amepunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya magolic James milner tu.. yupo mwingine was man city alipigwa tobo na messi kabla ya milner