Leonel Messi Atumbuliwa jipu Spain kuozea jela

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,709
11,747
Mchazaji wa pili kwa Dunia ( mwizi )baada ya C.Ronaldo huyo si Mwingine ni Lionel Messi amezua kichekesho mahakamani baada ya kujibu wakili kuwa alikuwa akisign kitu asichokijua katika mikataba ya kibiashara baina ya timu yake na makampuni ya biashara...

Messi na Baba yake wanakabiliwa na kesi ya kukwepa kodi ambayo adhabu yake ni kwenda jela miezi 22 na nusu mwezi na faidi ambayo ni sawa na kiwango alichokwepa kulipia kodi tokea mwaka 2007 hadi 2009 kwa kuuza haki za picha zake alikwepa kodi ya zaidi ya Dollar million 4.7 Walifungua makampuni ya uongo huko nchi ya Belize na Uruguay (Sawa na ile issue ya Richmond)
Nilisign, lakini sikusoma mkataba, sikujua nilisign kitu gani.

Haya Mambo baba yangu ndio anasimamia na ninamuamini, mimi nimejikita kucheza mpira tu..

Wakili alimuonesha mikataba mingi mmoja baada ya mmoja aliyosign kutoka kwa wadhamini akasema siikumbuki mimi. (huyu nae kama Vasco) chifu mangungu wa America ya kusini

Wadukuzi walifanikiwa kupitia kesi yake mwaka 2013 waweka kila kitu hadharani

'I don't know what I sign', Messi tells judge in fraud case: report

.
View photo

Barcelona's Lionel Messi is a five-time World Player of the Year who has also won more than 100 caps for Argentina (AFP Photo/Josep Lago)
Barcelona (AFP) - Argentina star Lionel Messi, who is due to go on trial in Barcelona for alleged tax fraud, told a judge that he never looks at the contracts he signs, the El Periodico daily said Monday.


The newspaper got access to Messi's September 2013 statement to a judge and published extracts just a day before the five-time World Player of the Year and his father stand trial.

"I signed things, but I never look at the contracts. I don't know what I sign," he allegedly said.

Messi and his father, Jorge Horacio Messi, are accused of using a chain of fake companies in Belize and Uruguay to avoid paying taxes on 4.16 million euros ($4.7 million) of Messi's income earned through the sale of his image rights from 2007-09.

They have been charged with three counts of tax fraud.

According to the alleged statement published by the Barcelona daily, the judge showed him several sponsorship contracts that he signed, but he did not remember them.

"This is something that my dad manages. And I trust him. I devote myself to playing football," he reportedly said.

"I do what he tells me to."

Spanish prosecutors are seeking a jail sentence of 22-and-a-half months for Messi and his father if they are found guilty, plus fines equivalent to the amount that was allegedly defrauded.

But any such sentence would likely be suspended as is common in Spain for first offences carrying a sentence of less than two years.
 
Wewe huu uongo umeutolea wapi? Wewe tushakuambia mpira na wewe ni vitu viwili tofauti! We ushaona wapi MHUBIRI na MSHABIKI WA SOKA wakawa sawia? Naona umeamua kumchafua mchezaji bora wa dunia number one baada ya Diego maradona!

Nenda kajipange bado saana kwenye haya mambo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wewe huu uongo umeutolea wapi? Wewe tushakuambia mpira na wewe ni vitu viwili tofauti! We ushaona wapi MHUBIRI na MSHABIKI WA SOKA wakawa sawia? Naona umeamua kumchafua mchezaji bora wa dunia number one baada ya Diego maradona!

Nenda kajipange bado saana kwenye haya mambo
 
Wewe huu uongo umeutolea wapi? Wewe tushakuambia mpira na wewe ni vitu viwili tofauti! We ushaona wapi MHUBIRI na MSHABIKI WA SOKA wakawa sawia? Naona umeamua kumchafua mchezaji bora wa dunia number one baada ya Diego maradona!

Nenda kajipange bado saana kwenye haya mambo
 
'I don't know what I sign', Messi tells judge in fraud case: report

.

KWANZA ALAFU TURUDI KWA MESSI BAADAYE
 
Haya ndio madhara ya ukosefu wa sukari mwilini...yani messi unamlinganisha na huyo muuza sura.
 
Messi yuko sahihi wewe mleta uzi ndio una matatizo...messi alimuamini baba yake kwa kila kitu..na baba yake messi ndo alikua anasimama mikataba yote ya messi...baba alikua anamwambia mtoto tu sain hapa na mtoto anasaini tu...kasema ukweli yeye alichojua ni kucheza mpira tu

Haya mambo ya kusimamiwa na wazazi sio mazuri mda mwingne, ndio maana beyonce alimtimua baba yake mzazi baada ya kugundua baba yake alikua ana msababishia matatizo kwenye mikataba ya kibiashara

Halafu mleta uzi punguza mihemuko yako na chuki kwa messi..yawezekana ulitaka kuleta info nzuri ila mwanzo wa uzi wako tu umeonesha uko upande gani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom