Leonardo Da-Vinci


Hii nayo ni pumba nyingine

Hivi tuwaeleweje nyie watu?
Mara Yesu ni story tu na hapakuwahi kuwepo na mtu aliyeishi duniani wa aina hii!
Mara sijui nini!

Mbona mnatapatapa?
 
Hii ni miongoni mwa maada ngumu zilizowahi kupostiwa hapa jamvini,..watu wanajua mengi ingawa hawataki kuyasema.

Hakuna ugumu hapo!
Watu hao hao wanasema Yesu hakuwahi kuwepo
Watu hao hao wanadai hayo aliyosema huyo jamaa!
Huwezi kugundua kilichoko katikati hapo?
 

umenena kweli Ni upuuzi Sana hata Mimi nimeona hizi documentary, watu wameamua kumtumikia shetani kueleza dunia uongo but its too late,huo mchoro wa monalisa aliyochora da Vinci Ni utata mtupu Kuna documentary moja wanasema aliyemchora Ni mpenzi wake wa kiume, binadamu tuwe makini Sana na mambo tunayosikia na kuyaona
 
Hii nayo ni pumba nyingine

Hivi tuwaeleweje nyie watu?
Mara Yesu ni story tu na hapakuwahi kuwepo na mtu aliyeishi duniani wa aina hii!
Mara sijui nini!

Mbona mnatapatapa?

the story starts wih the codififation of the bible.. during roman era.....hivi jiulize kwa nini mathehebu ya kikritsu yanatumia biblia zinazotofautiana..kwanini kuna vitabu flani katika bble ya wakatoliki lakini havipo ktk bble ya protestants..who decides what in faith and why?do you know that it happened in catholic church where it had two popes?....This was the situation in the 14th century that led to the Papal Schism (known also as the WesternSchism), when there were two popes – Urban VI in Rome and Clement VII inAvignon – both claiming to represent God on Earth.....ndugu dini ni kizungumkuti mno mambo mengi hayaeleweki...na ndio maana huko alikozaliwa yesu ISRAEL..kuna kabila ambalo wanasubiri azaliwe masiah..wakati wewe unasubiri arudi mara ya pili! shangaa na hilo.....usiwe mkali jibu hoja
 
Hakuna ugumu hapo!
Watu hao hao wanasema Yesu hakuwahi kuwepo
Watu hao hao wanadai hayo aliyosema huyo jamaa!
Huwezi kugundua kilichoko katikati hapo?

Religion is a philosophy..na falsafa hain majibu kwa asili yake ni maswali mwanzo mwisho..wenyewe wanait the searh of truth..when will it end.. no one knows.......umbwe ulioachwa ndio wewe uanzie hapo kuleta cha kwako..ucwaite wenzio mashetani kisa wanakosoa unachoamini...hata wakrisu wanamuona Allah ni shetani kisa ni Mungu wa waislaam...dini ni masaibu makubwa kupata kuja katika dunia hii
 
Hapa sizungumzii mwaka ambao da vinci aliishi…hizi habari zilikuepo tangu zamani wala hakua da vinci wa kwanza kuzizungumzia habari hizi. hiyo ni picha ya kubuni ndio wala sijasema kua ni picha halisi lakini aliibuni akimaanisha kitu ndio maana utapata theory nyingi kuhusu hiyo picha ikiwemo hiyo ya marry magdarena.[hata kibonzo kinabuniwa lakini kinawakilisha kitu].lakini mda mwingine ujue ukishika dini sana taarifa kama hizi utazipinga hata kama huna fact yeyote ya maana. Una uhakika gani kama hii ilikua kweli au haikua kweli?....kwa mfano kipindi cha Galileo galilei kanisa lilitoa mafundisho ambayo yalitofautiana na yale ya Galileo mpaka ikapelekea kuuwawa…lakini kanisa lilificha kwa interest zao binafsi….
 

kaka letu vitu, lete vitu..baelezee
 

usiwe na wasiwasi Kuna siku utaelewa Tu,
 
Hii nayo ni pumba nyingine

Hivi tuwaeleweje nyie watu?
Mara Yesu ni story tu na hapakuwahi kuwepo na mtu aliyeishi duniani wa aina hii!
Mara sijui nini!

Mbona mnatapatapa?
we jamaa huna fact yeyote hivi we umezaliwa tu umekuta wazazi wako wanasari may be ni wa kristo na we umekua mkristo na wangekua waislamu na we wenda ungekua muislamu tu...tatizo ukiwa sana pro na dini habari nyingine hutaki kusikia na unakua blind!...kama waafrika tulikua tuna abudu miti na milima...we unadhani ingekuaje kama hao wasingeleta dini zao huku? ungekua mkristo au....na umekua mkristo una imani gani kua hao waliokuletea dini wewe ni dini ya kweli? au waliitengeneza kwa manufaa yao binafsi?
 
muthe_x Hiyo portrait ndo inatafsiriwa na wale wanaojiita Keepers of the Holy Grail kuwa hapo kati ya Yesu na Magdalene kuna "V" - Grail, to the royal blood line/ uzao wa Yesu, hadi katika historia za Wafalme wa Ulaya (Uingereza na Ufaransa - akina Charlemagne an Otto von ...)
 
Last edited by a moderator:
Pia ukichunguza picha ya The Last Supper,hao mitume walikua wamejigawamya kwenye mafungu manne ya watu watatu watatu kila fungu lina tabia zinazofanana.
 

Hapa sizungumzii mwaka ambao da vinci aliishi…

Kuna umuhimu mkubwa sana wa hili jambo,unatakiwa ulifanhamu
hizi habari zilikuepo tangu zamani wala hakua da vinci wa kwanza kuzizungumzia habari hizi.

Zamani lini?
Wapi?
Mbona hao wengine waliozungumzia hili suala sio maarufu kama Da Vinci?
Zamani ni nini?
hiyo ni picha ya kubuni ndio wala sijasema kua ni picha halisi lakini aliibuni akimaanisha kitu ndio maana utapata theory nyingi kuhusu hiyo picha ikiwemo hiyo ya marry magdarena.[hata kibonzo kinabuniwa lakini kinawakilisha kitu]

Unajua Da Vinci hakuja kuzungumza jambo jipya,alizungumza jambo ambalo watu walikua wanalisikia sana,kwanini huyu awe maarufu kwenye suala hili?
Hakuna jambo la kijinga kama kuchora picha ya mtu ambae hujawahi kumuona na kumtuhumu kwa jambo ambalo na wewe umelisikia tu!
.lakini mda mwingine ujue ukishika dini sana taarifa kama hizi utazipinga hata kama huna fact yeyote ya maana.

Kwanza sio kweli kuwa mimi nimeshika dini sana na wala hata hujui kama mimi nina dini au sina
Lakini wewe una fact gani?
Huoni kulishabikia jambo bila kuwa na ushahidi ni ujing.a?
Una uhakika gani kama hii ilikua kweli au haikua kweli?...

Tazama hata wewe huna uhakika halafu unataka tukubali tu kikondoo!
Wewe kama unakuja na jambo kama hili usiwe mshabiki kiasi cha kuuondoa uwezo wako wa kufikiri jambo ambalo lingekusaidia kuona uzushi ulioko kwenye jambo hili!
.kwa mfano kipindi cha Galileo galilei kanisa lilitoa mafundisho ambayo yalitofautiana na yale ya Galileo mpaka ikapelekea kuuwawa…lakini kanisa lilificha kwa interest zao binafsi….
So what?
 
we jamaa huna fact yeyote

Wewe unayo?
Labda nikuulize,unaamini Yesu aliwahi kuishi duniani?
hivi we umezaliwa tu umekuta wazazi wako wanasari may be ni wa kristo na we umekua mkristo na wangekua waislamu na we wenda ungekua muislamu tu..

Una tatizo kubwa la kuassume mambo
Nani amekuambia kuwa nina dini?
Na hata kama ninayo unajuaje kuwa ni dini ya wazazi wangu?
Kwanini unaishi kwa mazoea?
.tatizo ukiwa sana pro na dini habari nyingine hutaki kusikia na unakua blind!..

Nimekuambia acha kuassume mambo usiyoyajua au wewe ni mtabiri?
Tatizo lako unadhani kila mtu anafanya mambo kama kondoo bila kuhoji
Kama wewe hauhoji wengine wanahoji!
 
Religion is a philosophy..na falsafa hain majibu kwa asili yake ni maswali mwanzo mwisho..wenyewe wanait the searh of truth..when will it end.. no one knows.......
Umeitoa wapi hii?
Dini ipi unaizungumzia hapa?
umbwe ulioachwa ndio wewe uanzie hapo kuleta cha kwako..
Umbwe ni nini?
ucwaite wenzio mashetani kisa wanakosoa unachoamini...
Nani amewaita watu mashetani?
hata wakrisu wanamuona Allah ni shetani kisa ni Mungu wa waislaam...
Una uhakika na hili?
dini ni masaibu makubwa kupata kuja katika dunia hii
Kivipi?
 
Mie nangoja siku nikifa nifukiwe basi ila haya mambo ya dini tupa kule! Kwani waafrika hatukuwa na DINI kabla? Hizi dini za hawa weupe michosho tu!
 

This is true mkuu....
 
Hili linafahamika sababu yake ni nini
Si u-google tu ili ujue?
Kitu gani kilitokea wakati huo?
ndugu dini ni kizungumkuti mno mambo mengi hayaeleweki...
Hapana
Usichanganye mambo mawili
Kuna wewe kutoelewa na kuna jambo kutokueleweka

Suala hili la dini sijui hata nikujibu nini maana naona hata hujui unachoongea!
na ndio maana huko alikozaliwa yesu ISRAEL..kuna kabila ambalo wanasubiri azaliwe masiah..
Kabila gani hilo?
wakati wewe unasubiri arudi mara ya pili! shangaa na hilo.....usiwe mkali jibu hoja
"Wewe" ni nini/nani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…