Nikifikaga hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa badala ya ku argue with critical point to defend their standing wanakuwa wakali, mara ni upuuzi mara ni ujinga, mara rudini kwa yesu. Wananitia shaka hawa tunaowaita wachungaji,na mimi najiuliza sana kwa nini kama ni upuuzi watu wanakuwa wakali?
kavae nguo ndefu kwanzahebu tuelimisheni mie hata simuelewi huyo mtu ila post zenu zimenifanya nitake kumjua zaidi
umeongea point sana mkuu.ila uandishi wako unatia ukakasi,sijui hujui kiswahili.we ni mkongoman?Wanaotiya shaka kuusu ukiristo hao niwapagani.. Hakuna dini yenyeupendo na uvumilivu hapa duniani kama ukiristo
hahaaaakaka letu vitu, lete vitu..baelezee
Wataalamu wa picha na falsafa za picha wanasema hiyo picha ina ujumbe mzito sana! Mpaka leo wataalamu wanaendelea kuitafsiri.kinachonishangaza kuhusu mchoro wa Monalisa ni madai kuwa hauna chochote cha maana, bali ni mchoro tu.
pia kuna ubishani zile picha hakuchora yeye binafsi bali wafanyakazi wake.
Miss you.hebu tuelimisheni mie hata simuelewi huyo mtu ila post zenu zimenifanya nitake kumjua zaidi
MONALISA, limeetokana na maneno mawili "AMON" and "L'ISA (Isis)"
AMON: mungu (m-ndogo) wa Misri wa uzazi wa mwanamme (God of masculine fertility)
Isis: mungu wa Misri wa uzazi wa mwanamke (Egyptian goddess of fertility) ambaye picha zake za zamani sana zilimtaja kwa jina la L'ISA.
Kwahiyo "AMON L'ISA".......MONALISA.
Leonardo alichora kila picha kwa sababu..Kubwa ikiwa ni kufikisha ujumbe kwa walioweza kudecrypt code katika picha.
Kwakuwa ni mtu aliyeamini feminism zaidi picha ya Monalisa inaonekana ni mwanamke zaidi kuliko mwanaume ila ni kwamba "ina jinsia zote mbili". Na ndio maana Leonardo alihusishwa na Homosexuality.