Leonardo da Vinci alimaanisha nini katika picha hii? Nani alizunguka dunia kusambaza hii Teknoloji miaka ya BC?

Tatizo wanadamu wa sasa wana under-rate binadamu wa kale mno. wanahisi ni watu waliokua wakiishi tu kama watu pori hawakujua chochote kuhusu Advanced- technology hapo ndio huwa napinga sana
 
Tatizo wanadamu wa sasa wana under-rate binadamu wa kale mno. wanahisi ni watu waliokua wakiishi tu kama watu pori hawakujua chochote kuhusu Advanced- technology hapo ndio huwa napinga sana
Binadamu wa kipindi kabla ya gharika ya Nuhu walikuwa na akili zaidi yetu sisi leo hii. Pia walikuwa wanaishi muda mrefu kuliko sisi mpaka miaka 900.Hata hivyo hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa uwezo wao zaidi ya vitabu vya kiroho.

Kuhusu suala la mbinu za ujenzi nenda kwenye Biblia fatilia kisa cha mnara wa Babeli ndio utaelewa juu masuala ya ujenzi na uwezo wa akili wa binadamu hao. Jamaa walijenga jengo mpaka Mungu akaona awachanganye kwenye lugha, maana yake jengo hilo urefu wake ulikuwa sio mchezo. Skyscrapper za leo hii tunazoziona ni ndefu ni kama viberiti ukilinganisha na jengo la babeli.
 
Hilo bara linaitwa Pangaea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa muongo muongo sana. Kwenye last supper hiyo nyumba ina one door na two windows. Acha uongo please humu ndani na sisi watu wazima tupo.


 
anaweza kuwa jamii ya aliens

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ni genius wa kimapinduzi tu ambaye jamii ya wakati ule ilihitaji mtu/watu wa aina hii ili kuweza kubadilika na kupiga hatua za kimapinduzi na ugunduzi ambao faida zake ndizo hizi tuzionazo leo hii.

Kwa upande wa pili inasemekana jamaa alikuwa ni mojawapo kati ya wale "the fallen angels".

Sent using mazonge yamezidi
 

Hadi leo hii kule mali kuna majengo yanayoshangaza sana,ni majangwani kuelekea kwenye mpaka na Algeria
 
3 represents the Holy Trinity
 
Vi rendra, Hahahaha pangea uliishuhudia?

Inauma sana kumuona mtu anaetoa hoja dhaifu with such seriousness, tena ningekua karibu ningekucharaza makofi kabisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Tuambie wewe haya mambo ya da vinci uliyashuhudia???..zote hizi ni history tunasimuliwa mambo ya kale,na mengine unaweza ukayaamini na bado ukawa ni uongo vilevile

Usijifanye mjuaji sana
 
Kumbe ngamia anavuka bahari toka Africa to Asia ok sawa
si ndo fashion ya miaka hiyo... na pia watu walikua wakisafiri kama mnavosafiri sasa hivi.. si ngamia walikuwepo...

vitu vingine nahisi tunavipaga uzito usiostahili, tunavitafutia Hidden secret ambazo hazi exit
 
continental drift ya mita moja inaweza ichukue miaka elfu moja hizo pyramid hazina muda huo sawa
Wanawake walio wengi huwa hawaelewi vipimo ukimwambia mita moja mwenzako anaweza kudhani ni mile moja. Kuna sku namuelekeza mwanamke upana wa bomba nikamwambia inch mbili akajibu "ni kama upana wa tairi eti ?!" haaha ha nilicheka sana.
 
hiyo ya kuwepo bara moja duniani ni nadharia tu halina ukweli wowote,hata tukisema kulikua na bara moja duniani swali linakja je hiyo mijengo imejengwa kipindi kuiwa na bara moja duniani?
 
nishashau
hiyo ya kuwepo bara moja duniani ni nadharia tu halina ukweli wowote,hata tukisema kulikua na bara moja duniani swali linakja je hiyo mijengo imejengwa kipindi kuiwa na bara moja duniani?
kuhusu haya jamani 🙆‍♂️ hata hoja sina
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…