Leonardo da Vinci alimaanisha nini katika picha hii? Nani alizunguka dunia kusambaza hii Teknoloji miaka ya BC?

Kuna mtu aliwahi kuokota mwamba ambao ndani yakekulikuwa na ile plug inayokuwa kwenye waya wa kifaa kinachotumia umeme, yani plug ile unayo chomeka kwenye socket.
Hili lilistajaabisha wanasayansi kwakuwa ina maana ile plug ilikuwepo kabla ya ule mwamba kutengenezwa. na mwamba wa vile ile uumbwe process inachukua mamilion ya mwaka.
Wanasayansi walibaki wanajiuliza ina maana ilikuwepo advanced human race hata kabla ya inavyokadiriwa binadamu kuanza kuishi duniani.
Nina amini hata sayansi ina mengi isiyoeleza kuhusu human race inaelekea binadamu alikuwepo duniani mamilion ya miaka na uwa akifika kiwango flani cha civilization labda the clock inaanza upya
Tatizo wanadamu wa sasa wana under-rate binadamu wa kale mno. wanahisi ni watu waliokua wakiishi tu kama watu pori hawakujua chochote kuhusu Advanced- technology hapo ndio huwa napinga sana
 
Tatizo wanadamu wa sasa wana under-rate binadamu wa kale mno. wanahisi ni watu waliokua wakiishi tu kama watu pori hawakujua chochote kuhusu Advanced- technology hapo ndio huwa napinga sana
Binadamu wa kipindi kabla ya gharika ya Nuhu walikuwa na akili zaidi yetu sisi leo hii. Pia walikuwa wanaishi muda mrefu kuliko sisi mpaka miaka 900.Hata hivyo hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa uwezo wao zaidi ya vitabu vya kiroho.

Kuhusu suala la mbinu za ujenzi nenda kwenye Biblia fatilia kisa cha mnara wa Babeli ndio utaelewa juu masuala ya ujenzi na uwezo wa akili wa binadamu hao. Jamaa walijenga jengo mpaka Mungu akaona awachanganye kwenye lugha, maana yake jengo hilo urefu wake ulikuwa sio mchezo. Skyscrapper za leo hii tunazoziona ni ndefu ni kama viberiti ukilinganisha na jengo la babeli.
 
mkuu uli soma shule ya msingi zamani kuwa kulikua na bara moja duniani?
baadae ukatokea mpasuko ndio yakapatikana mabara ya sasa?
Mkuu ni karne nyingi sana zimepita mm naamini walikuepowatu kama sisi hivi tena walioendelea vilivyo ila jamii yao ikaenda ikaisha... ndio maana hata watu wa mwaka 47 hatufanani nao ,na sisi pia hatutafanana na wa mwaka 2050 mabadiliko zaidi yatatokea
Hilo bara linaitwa Pangaea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa muongo muongo sana. Kwenye last supper hiyo nyumba ina one door na two windows. Acha uongo please humu ndani na sisi watu wazima tupo.

SALUTE COMRADES

Hii mijengo hapa chini ni mijengo iliyojengwa miaka mingi zaidi kabla ya Kristo, enzi hizo teknolojia ya usafiri ilikua chini!

Swali ni je, nani aliyezunguka bara moja kwenda lingine kusambaza hii teknolojia?

Ikumbukwe mpaka leo hii mzungu hajaweza gundua haya majengo yalijengwa vipi. Yapo bara la Africa, Asia na America.

View attachment 750214

Pia tujiulize kwanini yote yamejengwa na milango mitatu na mmoja mkubwa wa katikati? Nini maana yake? Nini maana ya namba 3?

Leonardo Da'Vinci katika mchoro/picha yake inayofahamika kama The Last Supper, pia ameweka hiyo milango mitatu!

View attachment 750215

What does it mean?

Cc
Palantir zitto junior Malcom Lumumba Astelia
 
Mkuu, Structure na Ujenzi wa Pyramid ulifanywa na watu wa kabila Dogo sana la Dogon la kule Mali baada ya viumbe wa kundi la Amphibia kutoka angani wenye akili zaidi ya Wanadamu kuzaa na watu wa Dogon

Ni Miaka mingi sanaa iliyopita kabla ya kuwepo kwa nyumba nyingine yoyote kubwa duniani kwa miaka zaidi ya 400.

Hata ugiriki ya zamani haikuwa na nyumba mashuhuri na yenye ukubwa huo wa pyramid ya GIZA.

Dogons walikuwa tayari na elimu ya Uduara wa dunia na mwaka wa 1200's kuna watu weupe walipata ushahidi huo Mali na Galileo Galilei alikiri hilo baada ya kuchorewa sayari zote chini ardhini

Tangu zamani sana Dogons walihojiwa mara nyingi kuhusu asili yao na kusema babu zao wapo juu na kuelekeza vidole angani.

Hata Masks wanazovaa zinasymbolize nyota inayong'aa zaidi angani ya SERIUS

Tazama CLIFF HOUSES za Ancient Dogons na Pyramids za Misri utagundua kitu.

Pia kuna vitabu vichache vimeeleza hili.

Leo hii wapo Wadogon wakristo na waislam wachache ila wapo waliobaki na dini yao ya EnziView attachment 1320289View attachment 1320290View attachment 1320291View attachment 1320292View attachment 1320293View attachment 1320294View attachment 1320295

Sent using Jamii Forums mobile app

Hadi leo hii kule mali kuna majengo yanayoshangaza sana,ni majangwani kuelekea kwenye mpaka na Algeria
 
SALUTE COMRADES

Hii mijengo hapa chini ni mijengo iliyojengwa miaka mingi zaidi kabla ya Kristo, enzi hizo teknolojia ya usafiri ilikua chini!

Swali ni je, nani aliyezunguka bara moja kwenda lingine kusambaza hii teknolojia?

Ikumbukwe mpaka leo hii mzungu hajaweza gundua haya majengo yalijengwa vipi. Yapo bara la Africa, Asia na America.

View attachment 750214

Pia tujiulize kwanini yote yamejengwa na milango mitatu na mmoja mkubwa wa katikati? Nini maana yake? Nini maana ya namba 3?

Leonardo Da'Vinci katika mchoro/picha yake inayofahamika kama The Last Supper, pia ameweka hiyo milango mitatu!

View attachment 750215

What does it mean?

Cc
Palantir zitto junior Malcom Lumumba Astelia
3 represents the Holy Trinity
 
Vi rendra, Hahahaha pangea uliishuhudia?

Inauma sana kumuona mtu anaetoa hoja dhaifu with such seriousness, tena ningekua karibu ningekucharaza makofi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuambie wewe haya mambo ya da vinci uliyashuhudia???..zote hizi ni history tunasimuliwa mambo ya kale,na mengine unaweza ukayaamini na bado ukawa ni uongo vilevile

Usijifanye mjuaji sana
 
Kumbe ngamia anavuka bahari toka Africa to Asia ok sawa
si ndo fashion ya miaka hiyo... na pia watu walikua wakisafiri kama mnavosafiri sasa hivi.. si ngamia walikuwepo...

vitu vingine nahisi tunavipaga uzito usiostahili, tunavitafutia Hidden secret ambazo hazi exit
 
continental drift ya mita moja inaweza ichukue miaka elfu moja hizo pyramid hazina muda huo sawa
Wanawake walio wengi huwa hawaelewi vipimo ukimwambia mita moja mwenzako anaweza kudhani ni mile moja. Kuna sku namuelekeza mwanamke upana wa bomba nikamwambia inch mbili akajibu "ni kama upana wa tairi eti ?!" haaha ha nilicheka sana.
 
mkuu uli soma shule ya msingi zamani kuwa kulikua na bara moja duniani?
baadae ukatokea mpasuko ndio yakapatikana mabara ya sasa?
Mkuu ni karne nyingi sana zimepita mm naamini walikuepowatu kama sisi hivi tena walioendelea vilivyo ila jamii yao ikaenda ikaisha... ndio maana hata watu wa mwaka 47 hatufanani nao ,na sisi pia hatutafanana na wa mwaka 2050 mabadiliko zaidi yatatokea
hiyo ya kuwepo bara moja duniani ni nadharia tu halina ukweli wowote,hata tukisema kulikua na bara moja duniani swali linakja je hiyo mijengo imejengwa kipindi kuiwa na bara moja duniani?
 
nishashau
hiyo ya kuwepo bara moja duniani ni nadharia tu halina ukweli wowote,hata tukisema kulikua na bara moja duniani swali linakja je hiyo mijengo imejengwa kipindi kuiwa na bara moja duniani?
kuhusu haya jamani 🙆‍♂️ hata hoja sina
 
Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom