Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,655
- 106,733
- Thread starter
- #161
Haya hua siachi yapite...sio kila kitu lazima upate majibu yake, kuna vingine ni vya kuacha vipite tu!!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya hua siachi yapite...sio kila kitu lazima upate majibu yake, kuna vingine ni vya kuacha vipite tu!!..
Sent using Jamii Forums mobile app
The 3 doors look photoshopped to meSALUTE COMRADES
Hii mijengo hapa chini ni mijengo iliyojengwa miaka mingi zaidi kabla ya Kristo, enzi hizo teknolojia ya usafiri ilikua chini!
Swali ni je, nani aliyezunguka bara moja kwenda lingine kusambaza hii teknolojia?
Ikumbukwe mpaka leo hii mzungu hajaweza gundua haya majengo yalijengwa vipi. Yapo bara la Africa, Asia na America.
View attachment 750214
Pia tujiulize kwanini yote yamejengwa na milango mitatu na mmoja mkubwa wa katikati? Nini maana yake? Nini maana ya namba 3?
Leonardo Da'Vinci katika mchoro/picha yake inayofahamika kama The Last Supper, pia ameweka hiyo milango mitatu!
View attachment 750215
What does it mean?
Cc
Palantir zitto junior Malcom Lumumba Astelia
Nimebaki kucheka tu. Ni kweli dunia ilikuwa moja. But by then binadamu alikuwa hajatokea. Inabidi ukasome vizuri historia ya dunia na ujio wa hominids.mkuu uli soma shule ya msingi zamani kuwa kulikua na bara moja duniani?
baadae ukatokea mpasuko ndio yakapatikana mabara ya sasa?
Mkuu ni karne nyingi sana zimepita mm naamini walikuepowatu kama sisi hivi tena walioendelea vilivyo ila jamii yao ikaenda ikaisha... ndio maana hata watu wa mwaka 47 hatufanani nao ,na sisi pia hatutafanana na wa mwaka 2050 mabadiliko zaidi yatatokea
Pangea ikiwa imezungukwa na bahari moja tu iliyoitwa PANTHALASAPangaea....umejibu kisomi zaidi
Ba peoples wamelike kabisa kumaanisha wameelewa alichoandika.. bila kufikiriaNimebaki kucheka tu. Ni kweli dunia ilikuwa moja. But by then binadamu alikuwa hajatokea. Inabidi ukasome vizuri historia ya dunia na ujio wa hominids.
Acha fix.... hilo bara ni mil ya miaka.mkuu uli soma shule ya msingi zamani kuwa kulikua na bara moja duniani?
baadae ukatokea mpasuko ndio yakapatikana mabara ya sasa?
Mkuu ni karne nyingi sana zimepita mm naamini walikuepowatu kama sisi hivi tena walioendelea vilivyo ila jamii yao ikaenda ikaisha... ndio maana hata watu wa mwaka 47 hatufanani nao ,na sisi pia hatutafanana na wa mwaka 2050 mabadiliko zaidi yatatokea
Nimebaki kucheka tu. Ni kweli dunia ilikuwa moja. But by then binadamu alikuwa hajatokea. Inabidi ukasome vizuri historia ya dunia na ujio wa hominids.
Acha fix.... hilo bara ni mil ya miaka.
👐😦🙄Ba peoples wamelike kabisa kumaanisha wameelewa alichoandika.. bila kufikiria
Haya mtoto mzuri...kwa hiyo mimi unaniachaje sasa?
kwenu wasomi / Wajuzi wetu wa Jf
Tumekoma kucomment vitu tusivyovijua, tunaomba mtusamehe.Kwanzia leo tutaacha kuongea upumbavu!
wako nisiojua kitu Vi rendra
Nimekuacha na hio barua.Haya mtoto mzuri...kwa hiyo mimi unaniachaje sasa?
Historia inaanzia mbali sanaaa kabla ya Leornado wa 15th century.
Nilisoma kitabu kimoja zamani kabisa kuhusu hizo nyumba na pyramids styles.
Kabla ya yote unatakiwa ufahamu kuhusu jamii ya Wanefili (kizazi kilichotokana na malaika waliozaa na binadamu na Mungu akawaacha) waliokuwepo tangu wakati wa Nuhu (miaka michache sana baada ya Adam na Eva)
.....hawa walikuja kutowekea kwenye sayari nyingine na wazungu wanawaita Aliens.
Hawa ni viumbe wenye akili nyingi mno ambayo binadamu hawezi kuwakaribia hata punje...ndio waliobuni hizo pyramid na wao pia walishazaa na jamii ya watu wa kawaida kabisa wa kabila dogo la Dogon lililopo huko Mali.
Kizazi chao ndicho kilichojenga kaburi la Pharaoh khufu lenye mlango mmoja mkubwa katikati na miwili pembeni ya wake zake wawili mmoja kulia na mwingine kushoto waliozikwa nae pamoja...na huko mexico ya zamani ikiwa inaitwa kwa jina lingine na Asia waliiga
Mwaka wa 1211 hawa Aliens walikuja kupropose kurudi katika sayari ya dunia kutokana na climate ya huko wanakoishi kutosupport maisha yao...!
Nitaeleza zaidi uhusiano wa Hivi viumbe na Marekani, Israel na Uingereza..........!
Pia kuhusu jamii ya Dogon.....!
Unalosema ni kweli hata mimi ninaamini human race imexisist for millions of years,, Kuna ramani moja alikuwa nayo turkish general wa miaka hiyo ikilionyesha bara la antarctica llikiwa halina barafu. Ramani hiyo inaonyesha mito milima na kila kitu hadi wanyama na imechora hata kabla bara hilo kugunduliwa uwepo wake na zama hizi. Na iko so accurate kwa longitudes na latitudes hadi inastaajabisha kuwa mchoraji atakuwa alichukua vipimo from above.mkuu uli soma shule ya msingi zamani kuwa kulikua na bara moja duniani?
baadae ukatokea mpasuko ndio yakapatikana mabara ya sasa?
Mkuu ni karne nyingi sana zimepita mm naamini walikuepowatu kama sisi hivi tena walioendelea vilivyo ila jamii yao ikaenda ikaisha... ndio maana hata watu wa mwaka 47 hatufanani nao ,na sisi pia hatutafanana na wa mwaka 2050 mabadiliko zaidi yatatokea
mimi naamini ivyo ; ndio mana nmetoa mawazo yangu binafsi ila wakuu wasomi wamekataa wamesema sijui kitu😢Unalosema ni kweli hata mimi ninaamini human race imexisist for millions of years,, Kuna ramani moja alikuwa nayo turkish general wa miaka hiyo ikilionyesha bara la antarctica llikiwa halina barafu. Ramani hiyo inaonyesha mito milima na kila kitu hadi wanyama na imechora hata kabla bara hilo kugunduliwa uwepo wake na zama hizi. Na iko so accurate kwa longitudes na latitudes hadi inastaajabisha kuwa mchoraji atakuwa alichukua vipimo from above.
Na kwasas wamegundua hata ile topograph ni accurate baada ya barafu kuanza yeyuka na kwa kutumia vifaa vya kisasa. Which means bara la antarctica liliwahi kuwa dominated na a human race
Kuna mtu aliwahi kuokota mwamba ambao ndani yakekulikuwa na ile plug inayokuwa kwenye waya wa kifaa kinachotumia umeme, yani plug ile unayo chomeka kwenye socket.mimi naamini ivyo ; ndio mana nmetoa mawazo yangu binafsi ila wakuu wasomi wamekataa wamesema sijui kitu😢