Leo..

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
Ni siku ya mikate isiyotiwa chachu (alhamisi kuu). Tumeanza rasmi siku tatu kuu za Pasaka. Tusikose kwenye ibada wapendwa. Mungu awabariki sana!
 
Asante, St Peter na St Joseph patajaa, maana ndo njia ya watu wanaotoka makazini.
 
...ivi ndio last SAPA sio?...6.30pm mpango mzima!
 
asante kwa kutukumbusha, ubarikiwe.
 
mbona mnashukuru tu kwa ujumbe? hatualikani pasaka?
 
nashukuru kwa kutukumbusha hope nawe unajiwekea hazina
 
Asante, St Peter na St Joseph patajaa, maana ndo njia ya watu wanaotoka makazini.
.
Siku kama hii hata "mafarisayo" wanaenda church ndo maana panajaa sana.. Me ndo natoka kibaruani nawah folen ili nisichelelewe, manake wengine ni walei kwenye parokia zetu, lazima "tukaoshwe" miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…