Leo atajibeba... Nimemchoka nimechoka wifi yangu na maneno yake ya kunisakama eti sizai... Najaza choo wakati ndoa yenyewe hata mwaka mmoja bado... Leo kaingia choo cha kiume... Nimemkaribisha chumbani nimemfungulia bafu la chumbani kwangu ameoga, nimempa taulo langu amejifutia,kila kitu nimeshea nae kila kitu changu na night dress yangu nimempa amevaa... Sasa nimemfungia chumbani kwangu... Nimemwambia tumeshea kila kitu sasa na mume wangu anakuja yupo njiani na yeye tushee... Ye si anaona mi nafaidi... Alale na kaka yake apate mimba kama anaona mie nimeshindwa...
kwa hiyo hili kwako ndio suluhu la matatizo yako?
shigongo at work.
yani hapa mke anaweza kujiweka yey mwenyewe matatani.....badala ya kutatua tatizo ndo anaongeza tatizo kwa mumewe......yani hapo ukiangalia amemtukana mumewe.......yani mumewe alale na dada yake.........he he utajibeba wewe na dadako ha ha ha
kaja kutucheksha tu mleta nasi tufurahi yaishe haina haja ya povuyani hapa mke anaweza kujiweka yey mwenyewe matatani.....badala ya kutatua tatizo ndo anaongeza tatizo kwa mumewe......yani hapo ukiangalia amemtukana mumewe.......yani mumewe alale na dada yake.........
kumbe....mim nilidhani yuko serious....haya bwana ngoja niendelee na castle light zangu....kaja kutucheksha tu mleta nasi tufurahi yaishe haina haja ya povu
wait kwanza yukwapi?au ndo yuko kwa 3some?
tena amkome kabisa angemuwekea maji ya ----- mwaka tu a
najuaje kama kaka yake inasimama barabara.
yani hapa mke anaweza kujiweka yey mwenyewe matatani.....badala ya kutatua tatizo ndo anaongeza tatizo kwa mumewe......yani hapo ukiangalia amemtukana mumewe.......yani mumewe alale na dada yake.........
Leo atajibeba... Nimemchoka nimechoka wifi yangu na maneno yake ya kunisakama eti sizai... Najaza choo wakati ndoa yenyewe hata mwaka mmoja bado... Leo kaingia choo cha kiume... Nimemkaribisha chumbani nimemfungulia bafu la chumbani kwangu ameoga, nimempa taulo langu amejifutia,kila kitu nimeshea nae kila kitu changu na night dress yangu nimempa amevaa... Sasa nimemfungia chumbani kwangu... Nimemwambia tumeshea kila kitu sasa na mume wangu anakuja yupo njiani na yeye tushee... Ye si anaona mi nafaidi... Alale na kaka yake apate mimba kama anaona mie nimeshindwa...
hapo itategemea na mumewe yukoje....kama mume anafwata mila na anamkuta dada yake chumbani anaweza kugeuziwa kibao mke......wala hajatengeneza tatizo.... ila ametuma ujumbe indirect kuwa wifi ni majanga!!