Haya mambo yanasikitisha sana πleo nimesikitika kwa niaba yako dah!
π
Daah...π€£π€£π€£Asante kwa kunikumbusha nilikuwa naelekea kutaja jina langu ila nitalitaja usihofuπππHahaha ukilewa usichat mkuu
haha iwe inaruhusiwa mkuu maana baninyo lipo nje nje mamodinyo hawana masihara mkuuNikuletee mkuu picha ninavyotaka wawe
As always, mvua π¦π¦π¦π¦π¦Kwema, salamu zisiwe nyingi.
Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?
Leo tupumzishe kumuongelea marehemu πππ€£π€£π€£haha ngoja nikae kimya nasikia lecturer alikushenyeta huna hamu
Kwema, salamu zisiwe nyingi.
Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?