Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,321
- 35,677
Me Mimi Sunni tulishamaliza tangu Jana. Kama unakuja kusalimia Sunni Mimi ...karibu Sana๐Baba bea kwa gubu tu hujambo. Naomba nije kula wali leo.
Nilikuambia utanipatia?Kwema, salamu zisiwe nyingi.
Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?
Jamani, basi siji.Me Mimi Sunni tulishamaliza tangu Jana. Kama unakuja kusalimia Sunni Mimi ...karibu Sana๐
Abee jirani
๐Unakumbuka kale kadada ka Dainamo kalipanda Jukwaani huko Mkoani kwenu Mbeya kakataka kuinba "Sijiii" kilimkuta Nini ?Jamani, basi siji.
Sawa baba bea nakuja. We mwanaume kwa mikwara tu hujambo.๐Unakumbuka kale kadada ka Dainamo kalipanda Jukwaani huko Mkoani kwenu Mbeya kakataka kuinba "Sijiii" kilimkuta Nini ?
Watanuna watu humu Babe.Sawa baba bea nakuja. We mwanaume kwa mikwara tu hujambo.
UlipataUzi wa kumalizia mwezi
Mimi nina hamu ya samaki wali wa nazi, hamu ya maziwa, kupata totoz moja cheupe dawa ya kuspend nayo usiku.
Ova
Mimi sionekani jirani najifungiaga ndani tu๐nahamu nikuone tu jirani ๐
Kikubwa ulishibanilipata samaki tu mkuu ๐
Karibu jiraniHaha basi nakuja nikuone