Yeah, kwenye mapenzi... safari hii nimepata mbabe wangu...unajua nini? Yote ni kupambania utulivu wa na nafsi sehemu sahihi...sitaki kurudia kosa kuingia kwenye ndoa kisa nataka tu na hata mhusika sijampenda...hapana,sirudii