Braza humu kumebadilika sana blaza
Usheleta kiu ya pombe bwasheeNgoja kwanza ninywe hii whiskey cola nikishalewa atajileta niliyemhamu!..
weekend hiiUsheleta kiu ya pombe bwashee
Unyama sana , hapa nimelala nimesikia pombe nikajigeuza nikavuta uvunguni kamzinga ka vodka😋weekend hii
Hapo tafuta ka glass kenye barafu changanya na ginger beer utaiona Slovakia hii hapa...🤣Unyama sana , hapa nimelala nimesikia pombe nikajigeuza nikavuta uvunguni kamzinga ka vodka😋
Nimepunguza heka heka mwezi wa toba upite kwanza 😂 😂C.c Binti wa zamani na heka heka zake kama kuku mtea
Hallelujah 🔥Nimepunguza heka heka mwezi wa toba upite kwanza 😂 😂
Hallelujah 🔥
Ukimaliza mfungo unione nimeokota 200 millions tutafute pa kuzitumia ziishe
😀😀😀😀Hapo tafuta ka glass kenye barafu changanya na ginger beer utaiona Slovakia hii hapa...🤣