Leo twende porini

Hawa ndude acha nao kabisa akiamua kukufanyizia ni habari nyingine tena hao wanabahati wangezikwa pamoja na gari lao.

hii kitu bana we isikiage tu.......yu no wora I mini.....
 
Hivi Preta huyu ndio nyegere nasika ana wivu balaa.

huyo ndio mzee Nyegere mwenyewe.........hajatulia kabisa......
hafai kwa matumizi ya nyumbani....maana nakujua jinsi unavyopenda pets wewe.....
 
huyo ndio mzee Nyegere mwenyewe.........hajatulia kabisa......
hafai kwa matumizi ya nyumbani....maana nakujua jinsi unavyopenda pets wewe.....

Huyo hapana mazee nasikia ni mbaya hafai kabisa akae tu mbali nami.
 
Preta siku ile Tembo walipoziba njia ulikuwa pembeni yangu so nitheme au nithi theme?
 
uwiiiiiiii, walimchokoza huyu! labda walimpigia mahoni?

Aisee!
Hii ni mbaya kuliko, na usipime chalii yangu!
Preta Hebu niulize:, Hivi ile Long -Base yetu ingehimili songombingo ya namna hii?...Mi naona kama vile hata basi la Vacilisa linaweza kutupwa hadi Moshi!...si ndio eeh?
 
wacha tu......he he he.....hivi HMethod ndio kaenda wapi siku hizi.....yeye si ndio alikuwa anampooza yule wa siku ile....hivi unamkumbuka huyu.....
 
Bora Tembo, ingekuwa Mnyama Simba, lazima kuna mtu angeliwa kama Yanga.
 
Sidhani kama hizi pic za Serengeti. Nitatafuta niwatumie zilikopigwa

BUBE....sijasema ni Serengeti....nimesema ni Haiti.....
 
wacha tu......he he he.....hivi HMethod ndio kaenda wapi siku hizi.....yeye si ndio alikuwa anampooza yule wa siku ile....hivi unamkumbuka huyu.....
Usinikumbushe ile maneno ya siku ile mi bana!
Hmethod toka siku ile hana hamu tena na Wing nzima!
 
Huyu ndie mdudu gani tena? Yupo very unique!
<br />
<br />
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…