Leo tupo hapa pub

Leo tupo hapa pub

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,143
Reaction score
31,275
jamani
Kipaji Halisi embu njoo jamani si unajua Mtambuzi yupo makalio bar na Arushaone na Preta.
Swahiba Paloma dah hapatikani pole sana kwa msiba wa mama Madame B kakamatia pedeshee na simu kazima.
My love wa zamani KakaKiiza kakwama kwenye foleni.
watu8 alishatuasi zamani sana he he he wakati naandika Vin Diesel anatia maguu.
Asprin anaifakamia govinda kumar sijui anaipendea nini eti Mentor unaweza nisaidia huyu mzee anaipendea nini hiyo makitu.
ladyfurahia unakumbuka juzi uliniahidi nini?
Mwisho manoah karibu azam juice maana hapa mwanachama wa hiyo kampuni nipo peke yangu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Natafuta mwaliko ila nimefulia. Ntakuja na konyagi yangu jamani, msinisahau tu lifti ya kurudi home manake nnazimikaga. Naomba kuwajoini...
 
usijali jamani ur welcome tena wanauliza upo wapi wakufate?
 
Natafuta mwaliko ila nimefulia. Ntakuja na konyagi yangu jamani, msinisahau tu lifti ya kurudi home manake nnazimikaga. Naomba kuwajoini...

mkwe shkamoo! Tupunguziane hiyo konyagi. Pafu moja tu latosha
 
wabongo bila kwenda bar siku haijakamilika bado
mwenzenu nilikuwa nashinda huko huko siku hizi
nimepumzika sana.
 
sikuweza kuja best wangu kwani nilkwenda kwenye msiba wa figganigga hivyo naomba unisamehe best na ile juzi nilibanwa makazi si unajua tuko nusu mwaka ndo tunapamba na maisha ili tuje kusherekea uzeeni bestito?
jamani
Kipaji Halisi embu njoo jamani si unajua Mtambuzi yupo makalio bar na Arushaone na Preta.
Swahiba Paloma dah hapatikani pole sana kwa msiba wa mama Madame B kakamatia pedeshee na simu kazima.
My love wa zamani KakaKiiza kakwama kwenye foleni.
watu8 alishatuasi zamani sana he he he wakati naandika Vin Diesel anatia maguu.
Asprin anaifakamia govinda kumar sijui anaipendea nini eti Mentor unaweza nisaidia huyu mzee anaipendea nini hiyo makitu.
ladyfurahia unakumbuka juzi uliniahidi nini?
Mwisho manoah karibu azam juice maana hapa mwanachama wa hiyo kampuni nipo peke yangu
 
Last edited by a moderator:
wabongo bila kwenda bar siku haijakamilika bado
mwenzenu nilikuwa nashinda huko huko siku hizi
nimepumzika sana.

unamaanisha nini?
Ujue ndo naamka sitaki karaha wala maneno ya shombo.
Anyway umri wako utakuwa umeenda sie wenzako ndo kwanza damu zinachemka
 
sikuweza kuja best wangu kwani nilkwenda kwenye msiba wa figganigga hivyo naomba unisamehe best na ile juzi nilibanwa makazi si unajua tuko nusu mwaka ndo tunapamba na maisha ili tuje kusherekea uzeeni bestito?

thats gud jamani.
Haya ndo nini kunishushua kwenye simu?
Maana duh nilikuwa mdogo juzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom