Kama ilivyo ada... Wana JF kushirikishana na kukaribishana viwanja.. Kwa mwana JF yoyote anakaribishwa, inzimixa utitiri pub. Honest kabisa... manoahPalomafigganiggaladyfurahia
Umenikumbusha kisa cha wana mtoni kwa Chaurembo walipolilia eneo lao litumike kama dampo baada ya kuona bahari inakaribia kuwameza.Kweli eneo hilo lilitumika kama dampo,ikatokea siku jamaa akaja na ngedere kuwatupa,jamaa walipoona tu gari inakuja wakachungulia dili,hata gari haijasimama wameshadandia na kuifungua,basi walitoka ngedere kama 50 hata sijui jamaa aliwatoa wapi basi mshikemshike wake ilikuwa kila mtu na kona yake maana jamaa walitafunwa na ngedere mpaka wakakoma ubishi.Sasa wewe unatukaribisha dampo tena...