Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,415
- Thread starter
- #101
Ume kumbuk wapi uko 😂Mkate mzuri sana
Hapo kwenye maumbo 😀😀😀nimekumbuka mbali 😀
Ume kumbuk wapi uko 😂Mkate mzuri sana
Hapo kwenye maumbo 😀😀😀nimekumbuka mbali 😀
Nina jaribu mkuuAiseeeh!! kijana unaweza kweli kweli.
Safi,lini nifike na familia kuonja mapishi?Nina jaribu mkuu
Wewe tu nipe taarifa siku mbili kablaSafi,lini nifike na familia kuonja mapishi?
hahah sasa na wew ulivitaka vikubwaNilikuwa napika vishet nikatwngeneza umbo la moja vikiumuka sasa 😃 😃 mama akasema sitaki maumbo gani kma viboro😂😂😂
Basi inatosha, naona umefika mbali sana 😀😀😀mama akasema sitaki maumbo gani kma viboro😂😂😂
😂😂😂Basi inatosha, naona umefika mbali sana 😀😀😀
Ndio na vikiumuka sasa😂akasma kata shape ya vinane 😂😂hahah sasa na wew ulivitaka vikubwa