Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
- Thread starter
- #61
😂😂 video mb zinaenda nyingi wengi hawa pendi videoNext time weka video, niliwahi pika kitu mpaka mbwa akasusa kula 😥😥😥
😂😂 video mb zinaenda nyingi wengi hawa pendi videoNext time weka video, niliwahi pika kitu mpaka mbwa akasusa kula 😥😥😥
UsicheleNgoja nije kula 😊
Soon nafika hapoUsichele
Endelea kutoa darasa wengine tunapenda kujaribu na kupika wenyewe vyakula vyetu...😂😂 video mb zinaenda nyingi wengi hawa pendi video
Ndizi nyama MkuuBado toa maoni kesho tupike nini?
Kupika ndo silaha ya mwanamke ya kwanza na inayomfanya mwanaume ajisikie fahari.Ugali kuupika sijaujulia ndo nikapike mikate 😹😹😹
Suala la kupika wala sijawahi kulipa kipaumbele 🤣👌
Nafurahi sikia ivyo mkuu tupo pamojaEndelea kutoa darasa wengine tunapenda kujaribu na kupika wenyewe vyakula vyetu...
NilishapikaNdizi nyama Mkuu
Sema nyuzi zako ziwe katika mtiriko ambao utawafanya wafatiliaji kuelewa .Nilishapika
Kauli yangu ni ile ile mkuu "wewe kuoa sahau" 😀😀😂😂 kasema kakosea njia kaenda bunju 😂
Tag hiyo thread nikaicheki mkuuNilishapika
Ubunifu muhimu sana pole pole tutafika tu soon nakuja na kitu kipyaDah,,,, !!!!!! We jamaa Una madini na maujanja mengi sana ya jikoni ! Hapa jukwaani madem wengi sana wakasome 😃 😀
Sasa mbona una toa siriKauli yangu ni ile ile mkuu "wewe kuoa sahau" 😀😀
Hii ni kataa ndoa ya kinamna
TeyariTag hiyo thread nikaicheki mkuu
Wapi huko? Mbona sioni mkuu?Teyari
HapanaSiyo kwamba atamuua kwa mawazo yani ile mke kujiona hajui kupika
Angalia vzrWapi huko? Mbona sioni mkuu?