Leo tule catress na juice

Pia unaweza weka yai katikati inakuwa jicho la mke mwenza eti??
Kabisa yaani, inakuwa na yai na nyama ingawa sijawahi kupika jicho la mke mwenza nilijifunza tuu. Ila mtoa mada kanitamanisha mno kesho ngoja nipike Katles pia.
 
Kaka na damu nilioona kabisa Sasa ningefanyaje mwanangu wakati anakuja nilishamgusia kuwa tutafanya na alisema sawa kaka
Siku nyingine una mzaba makofi matatu ya nguvu afu una mwambia acha utoto af unaenda kwa muhudumu unamuomba samahani ile ya chumba anakuja kulipa dada pale kasema atalipa anakupa unasepa una mwaacjia msala
 
Watu single mnapenda kuweka maji kwenye mabombonya, Sasa akija mgeni unamwekea kwa glass alafu wewe unaweka mdomo wako hapo
 
Watu single mnapenda kuweka maji kwenye mabombonya, Sasa akija mgeni unamwekea kwa glass alafu wewe unaweka mdomo wako hapo
Hayo maji ni special kabisa sijayafungua kabisa yamoto yapo pia
 
Kabisa yaani, inakuwa na yai na nyama ingawa sijawahi kupika jicho la mke mwenza nilijifunza tuu. Ila mtoa mada kanitamanisha mno kesho ngoja nipike Katles pia.
Haina tofauti na katles pia mapishi yale yale kuchanganya viazi kisha mayai ya kuchemsha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…