Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 695
- 1,803
Pesa nitoe wapi mimi😿😿😿😹😹 Acha zako wewe sema ulikuwa busy, unakosaje bando shoo?? Pesa kwako zimejaa.!
Nitumie nimuone baby wetu m-cute 😍😍
Ila shoo ulizaa, pale umewazalia pisi wanyamwezi wa baadae 😹
Wanyamwezi wa baadaye😹😹. Haya bhana nimefurahi kuona umeingia 2025 shoo😻