Leo tule catress na juice

Naomba recipe ya hio juice kwenye jagi
 
Matumizi mabaya ya nyama ingekuwa mimi hizo nyama za kuboil ningezitwanga kama zilivyo
 
Nawaambiaga watu ukiwa mvumilivu utapenda unachopika siku zote.
Hongera kijana mwenzangu
Kesho nitawaletea mbwembwe how to bake honey bread 😂
Poor Brain njoo muone MwachiBoy
 
Kwa ninavyojua mimi hiyo nyama ungeichanganya kama ulivyofanya kwenye viungo na sio kuiweka katikati.

Hata hivyo umetisha, mwanaume kupika namna hiyo sio salama sana.
Nifah kwa hiyo tule tusivyovitaka jamani 🤣🤣🤣
Kuna girlfriend nilikuwa nae nikimwambia pika anaogopa, maana vinapikwa vitu bibie mpaka anasema ukinioa utanivumilia kwenye kupika 🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…