Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,192
- Thread starter
-
- #201
Hahhaa alafu ukipasha naomba angalau watoto wangu nao ,dah maana leo hali ngumuMama ally ukimaliza kupika moto usizime,nataka nipashe kiporo changu cha " ubwabwa na malage".
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan kuanzia mama houss mpka wapangaji ni micharuko, wanarudi muda wanaotaka alafu nyumba geti la bati choo cha ghorofa afu mvua ikinyesha wanatapissha choo kama sinzaInaonyesha hiyo nyumba wapangaji wote ni waswahili na mnaishi tandale au buza
Mtoto Chakorii kicheche sana yani..Sema mie ananikaziaga kama gundu kmmmk jana tu kaja na baharia yule mwamba mwenye primio. Sema nini man Jafe, mi ntaishi nae tu ngoja leo nikamuombe movie rum kwake.Hiyo tabia ya kuchukua kitu moja kwa moja alikuwa nayo pia yule dada Chakorii wa chumba cha pili,siku hizi akija kuomba kitu huwa simpi
Hebu nilifuate hilo chanuo kwa financial services
Nenda hapoa barabarani kwenye kibanda cha DVD kwa Nyani Ngabu kwa Bujibuji huwa wanakodisha ni buku tu season ,maana hawa wapangaji wa humu hawatakuazimaJamani naombeni series iliyotafsiriwa kwa kiswahili
@Joanah njoo chumbani kwangu financial services alikiacha uku kwangu ,njoo chukuaHiyo tabia ya kuchukua kitu moja kwa moja alikuwa nayo pia yule dada Chakorii wa chumba cha pili,siku hizi akija kuomba kitu huwa simpi
Hebu nilifuate hilo chanuo kwa financial services
Mwambie liko kwanguJamani jirani una gubu na chanuo lako bado nalitumiaa
Sasa financial services utanipa shavu basi zamu yangu ya kufagia..Funguo nimeacha juu pale utakuta mpango wako mezani pale.Wee hamnitishi yule jirani fatuma ni rafiki yangu pia! Majirani gani mna gubu kama nimewaibia mabwana zenu halooo😏
Hahahahah walokole hao 😂😂😂" wewe ni bwana wa majeshi... tikaboboboboo tika! Ra masanto ri mamamama tika, achia..achia nguvu za giza...yesu wangu bwana wa majeshi.."
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mimi jamani muda si mrefu ntakuwa baba mwenye nyumba ,tuko kwenye maandalizi ya Harusi naombeni mchango wenu wa hali na maliAisee, nimeshtukia kwamba kuna mwenzetu halipishwi kodi, tena hata zamu yake ya kununua umeme ananunua mama mwenye nyumba.
@financial services hv jirani naweza kuongea na wewe baadae kama hutojali, kwenye mida yaa jioni hvi ,nikirudi baadae ,samahani kwa usumbufu lakini ,sasa sijui tutaongelea chumbani kwako au kwangu.Wee hamnitishi yule jirani fatuma ni rafiki yangu pia! Majirani gani mna gubu kama nimewaibia mabwana zenu halooo
Mhh unanitisha ,maana nadhami soon nafunga nae ndoa ,hizo stori nilisikiaga tu ila sitaaki kurudi nyumaNasikia mama mwenye nyumba alimuua mume wake ili arithi mali zake ndiyo maana mnaona hana mume
Nani anataka kuleta bata hapa ,amemuomba mama mwenye nyumba, sasa uo uchafua asubuhi hapa tutakomaSasa uani penyewe hapa padogo, hao bata unataka kuwafugia wapi?
Ka mnamuonea dada wawatu kila kitu anacho yeye ,juzi nasikia pia kuna mru kafumaniwa mkasema yeye embu mwacheni apumzike financial services wawatuPasi aliichukua financial services bado hajarudisha
Hahahaaha dah Asee nimecheka sanaJamaa wa chumba cha pili ana jasho kali yani akikupitia kama ASKARI WA HERODI
HahahahhahaahNyie watu aliyeweka upupu kwenye maji ya kuchambia ni nani?