Leo Tigo kama Tanesco

Leo Tigo kama Tanesco

Tupo vizuri sana kama haupati taarifa tupatie namba yako ya simu yenye WhatsApp na wilaya unayoishi kwa hatua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa taarifa. Ila tukitoa taarifa mzifanyie kazi. Kwa mfano juzi kati niliwauliza nitawezaje kuhama toka tariff 1 kwenda ile ya kiwango cha chini yaani chini ya unit 75 kwa mwezi?
Naomba jibu
 
Back
Top Bottom