Leo tena Yesu amenitendea muujiza mkubwa!

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
5,601
Reaction score
7,218
Kwa zaidi ya wiki moja nimekuwa nikihisi kana kwamba kuna mdudu anatambaa tambaa kwenye bega langu la kushoto. Nikipapasa sehemu hiyo sioni kitu. Leo nikasema "enough is enough"(yatosha sasa). Nikaweka mkono sehemu hiyo na kuikemea hali hiyo kwa Jina la Yesu. Hivi sasa hali ya mdudu kutambaa tambaa imetoweka kabisa katika eneo hilo! Hakika Yesu hajabadilika. Miujiza aliyoitenda miaka 2000+ iliyopita bado anaitenda hata leo kwa kila aaminiye.

Kisayansi, wenye dalili kama hizo, huambiwa kwamba wana "paresthesia." Wanapoenda hospitali, madaktari huwauliza maswali mengi ili kujua chanzo cha hali hiyo na kupima nguvu za misuli (muscle strength), kupima hisia (sensation testing), au kufanya Nerve Conduction Study (NCS) kwa kutumia vifaa kama Electromyography (EMG), MRI (Magnetic Resonance Imaging), au CT Scan na Ultrasound (USG). Baada ya hapo, wagonjwa hufanyiwa fisiotherapi, au kupewa dawa za kupunguza mgandamizo wa mishipa, au wakati mwingine kufanyiwa upasuaji.

Namshukuru Mungu nimepona bure kwa Jina la Yesu, bila kuingia gharama ya kulipia vipimo hivyo na madawa!

Miujiza kama hii ni vigumu kuiona maishani mwako kama huamini kuwa Yesu ni Mungu, Mtenda miujiza.
 
Why this works for you and for me, why?
 
Acha upumbavu mwanangu ni balaa. Yesu anaweza kukutendea kitu gani wakati naye anategemea Mungu au ni yule Muingereza Brian Deacon aliyejazwa kwenye vichwa vya mazwazwa na matapeli wa kiroho? Unajuaje kama ni Yesu na si shetani mwenzako?
 
Why always you ...Yesu mbona mm hanioni??
Ooh jamani D-RICH
It’s not always me; God is faithful to all His children, and your testimony is on the way.

Mungu ni mwaminifu na ameahidi uponyaji kwa wote wamwaminio. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo mtu anapaswa kuyafanya ili apokee uponyaji. Nakutajia baadhi ya mambo hayo: Kwanza kabisa hakikisha umeokoka. Jiulize: Je, ulitubu dhambi na kuziacha? (Yakobo 5:16). Je, Yesu ni Bwana na Mwokozi wako? Kama unatambua wazi kuwa wewe ni mtoto wa Mungu, hatua inayofuata ni kuomba na kukemea. Yesu alisema tukiomba lolote tutapewa. na tena kila aliyeokoka amepewa mamlaka ya kukemea magonjwa na udhaifu wa kila aina.

Ukiishaomba na kukemea, uwe na imani isiyotetereka (Marko 11:24) – amini kwamba umepokea uponyaji hata kabla hujaona matokeo. Ukiona dalili zinaendelea, usiogope. Endelea kuamini tu. Mashaka huweza kuzuia miujiza (Yakobo 1:6-7). Kumbuka Petro alipoona upepo, aliogopa, akaingiwa na mashaka na kuanza kuzama.

Kiri/zitamke kwa imani ahadi za Mungu za uponyaji kila siku (Methali 4:20-22).
Haya hapa ni baadhi ya Maandiko yenye ahadi za uponyaji
Marko 9:23 – “Yote yanawezekana kwake aaminiye.”
1 Petro 2:24 – “Kwa kupigwa kwake tuliponywa.”
Zab 118:17 – "Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA."
Yeremia 30:17 – “Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema Bwana.”

Wasamehe waliokukosea (Marko 11:25) – moyo usiosamehe unaweza kufunga mlango wa neema (Mathayo 6:15)

Weka tumaini lako kwa Mungu pekee, si kwa watu au njia za kibinadamu (Yeremia 17:7-8).

Hayo ni baadhi ya mambo muhimu ya kuzingatia ili uone miujiza ya uponyaji.

Yesu anakuona, anakujua kwa jina na anapenda kukuponya. Hana upendeleo, anaponya wagonjwa wote (Mathayo 8:16-17)

Kwahiyo, kama umeokoka, usikate tamaa; endelea kushikilia imani yako. Moyo wako uwe thabiti, siku yako ya kushuhudia muujiza itakuja, na wewe utaimba: ‘Yesu ameniona na mimi na kuniponya.’
 
Brian Deacon
Brian Deacon aliigiza tu maisha ya Yesu; lakini ukweli ni kwamba Yesu alikufa akafufuka na sasa yuko hai, anatenda miujiza kwa kila aaminiye hata leo. Ninajua kwamba aliyeniponya ni Yesu kwa sababu: nimepona baada ya kutamka Jina la Yesu. Ukitamka jina la Brian Deacon au jina la shetani huwezi kupona.
 
Kwa zaidi ya wiki moja nimekuwa nikihisi kana kwamba kuna mdudu anatambaa tambaa kwenye bega langu la kushoto. Nikipapasa sehemu hiyo sioni kitu. Leo nikasema "enough is enough"(yatosha sasa). Nikaweka mkono sehemu hiyo na kuikemea hali hiyo kwa Jina la Yesu. Hivi sasa hali ya mdudu kutambaa tambaa imetoweka kabisa katika eneo hilo! Hakika Yesu hajabadilika. Miujiza aliyoitenda miaka 2000+ iliyopita bado anaitenda hata leo kwa kila aaminiye.

Kisayansi, wenye dalili kama hizo, huambiwa kwamba wana "paresthesia." Wanapoenda hospitali, madaktari huwauliza maswali mengi ili kujua chanzo cha hali hiyo na kupima nguvu za misuli (muscle strength), kupima hisia (sensation testing), au kufanya Nerve Conduction Study (NCS) kwa kutumia vifaa kama Electromyography (EMG), MRI (Magnetic Resonance Imaging), au CT Scan na Ultrasound (USG). Baada ya hapo, wagonjwa hufanyiwa fisiotherapi, au kupewa dawa za kupunguza mgandamizo wa mishipa, au wakati mwingine kufanyiwa upasuaji.

Namshukuru Mungu nimepona bure kwa Jina la Yesu, bila kuingia gharama ya kulipia vipimo hivyo na madawa!

Miujiza kama hii ni vigumu kuiona maishani mwako kama huamini kuwa Yesu ni Mungu, Mtenda miujiza.
Ukimpata mwanaume wa kukukaza vizuri mbona unapona kabisa, enyi wagalatia mshughulikieni huyu kabla hali haijawa mbaya zaidi.
 
Kwa zaidi ya wiki moja nimekuwa nikihisi kana kwamba kuna mdudu anatambaa tambaa kwenye bega langu la kushoto. Nikipapasa sehemu hiyo sioni kitu. Leo nikasema "enough is enough"(yatosha sasa). Nikaweka mkono sehemu hiyo na kuikemea hali hiyo kwa Jina la Yesu. Hivi sasa hali ya mdudu kutambaa tambaa imetoweka kabisa katika eneo hilo! Hakika Yesu hajabadilika. Miujiza aliyoitenda miaka 2000+ iliyopita bado anaitenda hata leo kwa kila aaminiye.

Kisayansi, wenye dalili kama hizo, huambiwa kwamba wana "paresthesia." Wanapoenda hospitali, madaktari huwauliza maswali mengi ili kujua chanzo cha hali hiyo na kupima nguvu za misuli (muscle strength), kupima hisia (sensation testing), au kufanya Nerve Conduction Study (NCS) kwa kutumia vifaa kama Electromyography (EMG), MRI (Magnetic Resonance Imaging), au CT Scan na Ultrasound (USG). Baada ya hapo, wagonjwa hufanyiwa fisiotherapi, au kupewa dawa za kupunguza mgandamizo wa mishipa, au wakati mwingine kufanyiwa upasuaji.

Namshukuru Mungu nimepona bure kwa Jina la Yesu, bila kuingia gharama ya kulipia vipimo hivyo na madawa!

Miujiza kama hii ni vigumu kuiona maishani mwako kama huamini kuwa Yesu ni Mungu, Mtenda miujiza.
Inspiring
 
Amina!
 
huwa una mambo mengi ya msingi, ila baada ya kujiweka wazi, kwamba uko upande wa wadhalimu wa Tanganyika hii, ulipoteza credibility kabisa, mtumishi wa Mungu anakaa upande wa watesi?
 
Back
Top Bottom