Leo tena imegeuka kuwa cheaters!

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
Nasikiliza LEO TENA ya Clouds FM; naona imegeuka kuwa cheaters; Si mchezo!

Ni reflection ya tunayojadili hapa kila siku! Inasikitisha sana!

Mwanamke ana mumewe lakini pia ana mpenzi nje ambaye ni mume wa mtu! Baada ya kufumwa anajeleza kuwa huko kwake Mume naye ana nyumba ndogo! Well ni victim wa mfumo lakini je ni kweli suluhisho la matatizo yake ni kutoka nje ya ndoa?
 
Masikini kusema ukweli nimeisikiliza leo hadi nimepatwa na kizunguzungu na kujiuliza hivi hali hii itaendelea hadi lini? Mimi sioni sababu mtu ukazane kuhangaika unatafuta mbinu za kumchungwa bwanako asiibiwe kwani yeye hawezijizuia? Ah sijui hata kama nimeuliza sawa ila ah.......................... I think nitaendelea kuwa kipande hii for such a loooong looong time!! Stroke changa sizitaki mie
 
MwanajamiiOne HAVE FAITH! You need a partner believe me! Sitaki ufike pahala u assume u Dada Sophy!
 
MwanajamiiOne HAVE FAITH! You need a partner believe me! Sitaki ufike pahala u assume u Dada Sophy!
MJ aksante kwa advice but mh ............ hapana. Na hata hiyo hamu ya uDaSophy wala sina na siweziifikia jamani kama ni kikombe kwangu kimejaa pomoni wanasema kaka yangu. Aksante
 
MJ aksante kwa advice but mh ............ hapana. Na hata hiyo hamu ya uDaSophy wala sina na siweziifikia jamani kama ni kikombe kwangu kimejaa pomoni wanasema kaka yangu. Aksante

Have FAITH; nina rafiki yangu ameolewa at 35; naye huko alitendwaaaaaaa wee mpaka tukamshauri aachane na mahusiano kwanza lakini Mungu amemkumbuka she is now ENJOYING TRIPLE !
 
Having FAIDH eh how nikae nikijiliwaza kuwa one of these days my prince charming will come just emerge from nowhere? sijui wanasema never say never but mh all I can say ni kuwa relationships have beenm more complicated nowdays !!
 
Ni kweli MwanajamiiOne!

Nia yangu ya kusema uwe na Imani ni kwa kuamini kuwa kwa xperiensi uliyonayo mpaka sasa ni rahisi kwako kujua mchele na chuya! Na ukimtanguliza Mungu yeye atakuwekea mipango imara ; ila ukifanya kwa akili yako mhhhhhhhhhh! Si umesikia watu wana fake for 10 whole yrs!:yuck:
 
Kama mmoja wa watangazaji ni huyu hapa na redio yenyewe ni CLOUDS wategemea nini chali angu?

gea-habibbc.jpg

Gea Habib(pichani) mmojawapo kati ya watangazaji mahiri wa Clouds FM.
 
Thanx MJ will remember your advice siku moja am sure. Na kweli hayo ya kufake tena kaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom