jamani kilicho tokea leo temeke liwe fundisho kwetu vijana mke wa mtu ni sumu mbaya ambayo ikikupata hakika huponi hata chembe! jamaaa imemtokea poani leo..
Hii kitu ni aibu as ingeelimisha wengi ila naona forum hii imetoa thread zote kitu cha kusaidia kupunguza magonjwa katika jamii. Mbona hata kenya ilitokea?
Hivi forum hii ni ya nini tena maana naona haijakaa kama ina uhuru bali vizingiti kibao?
Watanzania wangine kutoka na eneo walilotoka hawatofautishi ra/la au ha/a. Hivyo, uwasamehe badala ya kusema aibu wakasema au wakaandika haibu. Badala ya kula wakasema kura au kura wakasema kula.