mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 644
- 502
Unaanza kuponda wanaume wenzio tena haufiki mbali wewemesy Hustahili kuwa na washenzi wasiojua thamani yako, mimi ndie mwanaume pekee mwenye
nidhamu na penzi lako, na ili kukuhakikishia hilo
jaribu kuniruhusu nikuonyeshe kwa vitendo,
manake mimi naamini kwenye matendo kuliko
maneno sweetie
