Leo siku ya tatu simuongeleshi mpenzi wangu. Ungekua ni wewe ungechukua uamuzi gani?

kwa ninavyojiskia saivi sidhani kama nitaweza hata kumudu kukaa nae pembeni tukaongea kitu! siwezi
Ukikaa na mtu mshenz nawe kuwa mshenz tena usimfiche ww akija kula nyama zaka usimpe ata sent na ucmshobokee yaan ww mchukulie km malaya anaekupa papuch bure atajishtukia
 
Wakuu habari zenu, niende moja kwa moja kwenye topic

Mimi kwa sasa ninaishi mkoa tofauti na mpenzi wangu, sasa siku ya tarehe 26 huyu dada aliniambia anaenda Dar kufata mzigo wa viatu na pia anaenda kumtembelea rafiki yake aliyesoma nae ili aule na mwaka mpya hukohuko!

Sasa kizaa zaa kikaanza alipofika huko Dar kwanza siku anafika alifika na hakupatikana siku nzima kesho yake mida ya saa saba mchana akanipigia simu kwa namba ngeni nikamuuliza vipi kulikoni akasema eti usiku alioingia Dar aliibiwa simu kwahiyo hiyo aliyonayo ameiazima ili anijulishe na akaniambia hiyo namba amepewa laini na huyo mtu awe anatumia,

Alipokata simu nikaangalia hiyo namba kwenye Mpesa nikakuta imesajiliwa kwa jina lake, nikamuuliza kwa meseji mbona hiyo namba ina jina lako akaanza kunijibu eti alikua amesahau ameisajili

Sasa tukachati hapo kama dakika kumi tukaagana lakini akaniambia nisiwe namtafuta yeye ndio atakua ananitafuta maana hiyo simu ameazima kwahiyo atakua anamrudishia mwenye nayo! Tena alinizuia katukatu kutuma sms usiku maana hiyo simu inakua iko kwa mwenyewe.

Mimi nikamwambia kwanini usichukue hata elfu ishirini ukanunua simu ndogo ukawa unatumia kuliko kuomba omba watu simu, akagoma akasema yeye hataki kununua atanunuagaa tu hata sku nyingine,

Baada ya hayo maelezo mi nilikausha nikawa kweli nasubiri yeye ndo anitafute, akawa ananitafuta mchana tu usiku hanitafuti lakini nikimtumia sms usiku inadeliver ila yeye ndio hajibu, siku nyingine ilikua inapita siku nzima hajanitafuta.

Sasa juzi tarehe mbili akanipigia simu mida ya saa tisa alasiri akaniambia yuko safarini anarudi home kwao, nikamuuliza sasa simu umeitoa wapi umenunua njiani au? Akasema eti nilikua nakutania sikupotezaga simu nilikua nayo, nilikua nataka kukupima tu kama wewe ni mume mwema, nikamuuliza hivi inawezekanaje eti umpime mtu kwa kumwambia umepoteza simu asikutafute wewe ndo utamtafuta, unapima nini sasa? Akaniambia alikua anapima kama mimi ni mvumilivu, nikamwambia au ulikua kwa mwanaume akanijibu eti 'inawezekana'

Kwakweli mimi sikuhitaji kabisa kuendeleza majibizano nae nilikata simu na sikutaka tena mawasiliano naye, niliwaza kabisa huyu alikuwa kwa mwanaume ndio maana alikua hataki tuwasiliane usiku wala hakutaka mimi ndio niwe naanza kumtafuta.

Sasa nikachukua uamuzi wa kukaa kimya kukata mawasiliano nae tangu juzi ananitumia tu sms mimi sitaki kumjibu nimeshapata mawazo ya kumuacha kabisa,

Naombeni ushauri wakuu hata kama ungekua ni wewe ungefanyeje? Je, huu uamuzi niliochukua si ni sahihi maana hapa naona kabisa huyu dada alienda Dar kuliwa kabisa.
Haiana haja ya ushaur mkuu ulikua unakaziwa Sasa uamuz unao mwenyewe
 
Hahahah

Daahh yaani hizo drama sio mchezo

Siwezi kufanywa mjinga kiasi hicho
 
Kwakweli ni mbuzi kabisa na kufuatia huu ushauri wenu na mimi napigilia msumali wa mwisho ndio nimepiga chini rasmi tena sitarudi nyuma
Anaumri gani !?

Huyo manzi achana nae atakusababishia matatizo anauongo wa kibwege Sana Tena wa kitoto mnooo ..Yaani bado nimshamba piga chini haraka sana
 
Nilipoona ni wale wadada wanaofuata mizigo Dar sikuona hata haja ya kuendelea kusoma post yako bro.

Hao wadada ni wauzaji tu kama wauzaji wengine Ila tofauti ni kuwa kajificha kwenye hicho kichaka cha biashara.

Epuka sana mdada anayejifanya anakuja Dar kufuata mzigo wa viatu au nguo.

Narudia Tena "EPUKA SANA".
 
Pole ila siku nyingine jifunze kumtoa mwanamke kwenye malengo yako kimya kimya bila hata yeye kujijua. Yaani we endelea nae tu ila mipango mingine ya maisha yako inaendelea bila bugudha siku akijirudi akikolea ndio unamwambia tu kutokana na sababu hii na hii wewe siwezi nikakuoa basi full stop. Kuchuna au kukimbilia kuanzisha mahusiano mengine ni uboya.

Narudia tena mwanamke akikufanyia ubaya usimtangazie kaa kimya jifanye hujaona rafu ila hakikisha kwenye malengo yako ya maisha unamtoa ila akikuletea kipapuchi chake kipige asipo kileta fresh ....jifanye haujui....maana ukianza kujibishana nae atakupa majibu ya kukuumiza na kukufanya ujione mnyonge.

Kaaa kimya
Hii strategy huwa naitumia and it's work very well
 
Mkuu sio mara ya kwanza mimi kukaa nae chini kuongea nae kuhusu tabia tata alizonazo ni zaidi ya mara kumi hata wakati mwingine nilikua nikikuta sms za wanaume wengine kwake naongea nae anaomba msamaha yanaisha sasa amerudia tena kwa staili nyingine, kweli niendelee kumvumilia tu mkuu?
Aisee kumbe ana madrama kiasi hicho ..piga chini haraka Sana
 
Da mkuu pole sana yaani wewe umetulia unajua uko na yeye kumbe yeye yuko na mwingine hatujafikia hatua ya mwanamke mmoja wanaume wawili acha halaka utakufa
 
mkuu si mara moja huyu gash namkanya sana aache tabia zake za kichoko, sasa alidhani namtania saivi nimeamua kumpiga chini mazima kuna watu wanapata bahat ya kupendwa lakini wanajitia uchiz kwakweli
 
Wakuu habari zenu, niende moja kwa moja kwenye topic

Mimi kwa sasa ninaishi mkoa tofauti na mpenzi wangu, sasa siku ya tarehe 26 huyu dada aliniambia anaenda Dar kufata mzigo wa viatu na pia anaenda kumtembelea rafiki yake aliyesoma nae ili aule na mwaka mpya hukohuko!

Sasa kizaa zaa kikaanza alipofika huko Dar kwanza siku anafika alifika na hakupatikana siku nzima kesho yake mida ya saa saba mchana akanipigia simu kwa namba ngeni nikamuuliza vipi kulikoni akasema eti usiku alioingia Dar aliibiwa simu kwahiyo hiyo aliyonayo ameiazima ili anijulishe na akaniambia hiyo namba amepewa laini na huyo mtu awe anatumia,

Alipokata simu nikaangalia hiyo namba kwenye Mpesa nikakuta imesajiliwa kwa jina lake, nikamuuliza kwa meseji mbona hiyo namba ina jina lako akaanza kunijibu eti alikua amesahau ameisajili

Sasa tukachati hapo kama dakika kumi tukaagana lakini akaniambia nisiwe namtafuta yeye ndio atakua ananitafuta maana hiyo simu ameazima kwahiyo atakua anamrudishia mwenye nayo! Tena alinizuia katukatu kutuma sms usiku maana hiyo simu inakua iko kwa mwenyewe.

Mimi nikamwam

Baada ya hayo maelezo mi nilikausha nikawa kweli nasubiri yeye ndo anitafute, akawa ananitafuta mchana tu usiku hanitafuti lakini nikimtumia sms usiku inadeliver ila yeye ndio hajibu, siku nyingine ilikua inapita siku nzima hajanitafuta.

Sasa juzi tarehe mbili akanipigia simu mida ya saa tisa alasiri akaniambia yuko safarini anarudi home kwao, nikamuuliza sasa simu umeitoa wapi umenunua njiani au? Akasema eti nilikua nakutania sikupotezaga simu nilikua nayo, nilikua nataka kukupima tu kama wewe ni mume mwema, nikamuuliza hivi inawezekanaje eti umpime mtu kwa kumwambia umepoteza simu asikutafute wewe ndo utamtafuta, unapima nini sasa? Akaniambia alikua anapima kama mimi ni mvumilivu, nikamwambia au ulikua kwa mwanaume akanijibu eti 'inawezekana'

Kwakweli mimi sikuhitaji kabisa kuendeleza majibizano nae nilikata simu na sikutaka tena mawasiliano naye, niliwaza kabisa huyu alikuwa kwa mwanaume ndio maana alikua hataki tuwasiliane usiku wala hakutaka mimi ndio niwe naanza kumtafuta.

Sasa nikachukua uamuzi wa kukaa kimya kukata mawasiliano nae tangu juzi ananitumia tu sms mimi sitaki kumjibu nimeshapata mawazo ya kumuacha kabisa,

Naombeni ushauri wakuu hata kama ungekua ni wewe ungefanyeje? Je, huu uamuzi niliochukua si ni sahihi maana hapa naona kabisa huyu dada alienda Dar kuliwa kabisa.
 
Mamuzi ni kuzoeya hali halisi mbona mm nimekaushiwa gafla tu na Bila ugonvi wowote kama ni matunzo nimetoa tena mazuri some time dada zetu wanatema big g kwa karanga za kuonjesha alafu wanarudigi kwa kasi ya 4g na akirudi piga mzigo piga chini
 
Yah that is ma home boy....
 
Wakuu habari zenu, niende moja kwa moja kwenye topic

Mimi kwa sasa ninaishi mkoa tofauti na mpenzi wangu, sasa siku ya tarehe 26 huyu dada aliniambia anaenda Dar kufata mzigo wa viatu na pia anaenda kumtembelea rafiki yake aliyesoma nae ili aule na mwaka mpya hukohuko!

Sasa kizaa zaa kikaanza alipofika huko Dar kwanza siku anafika alifika na hakupatikana siku nzima kesho yake mida ya saa saba mchana akanipigia simu kwa namba ngeni nikamuuliza vipi kulikoni akasema eti usiku alioingia Dar aliibiwa simu kwahiyo hiyo aliyonayo ameiazima ili anijulishe na akaniambia hiyo namba amepewa laini na huyo mtu awe anatumia,

Alipokata simu nikaangalia hiyo namba kwenye Mpesa nikakuta imesajiliwa kwa jina lake, nikamuuliza kwa meseji mbona hiyo namba ina jina lako akaanza kunijibu eti alikua amesahau ameisajili

Sasa tukachati hapo kama dakika kumi tukaagana lakini akaniambia nisiwe namtafuta yeye ndio atakua ananitafuta maana hiyo simu ameazima kwahiyo atakua anamrudishia mwenye nayo! Tena alinizuia katukatu kutuma sms usiku maana hiyo simu inakua iko kwa mwenyewe.

Mimi nikamwambia kwanini usichukue hata elfu ishirini ukanunua simu ndogo ukawa unatumia kuliko kuomba omba watu simu, akagoma akasema yeye hataki kununua atanunuagaa tu hata sku nyingine,

Baada ya hayo maelezo mi nilikausha nikawa kweli nasubiri yeye ndo anitafute, akawa ananitafuta mchana tu usiku hanitafuti lakini nikimtumia sms usiku inadeliver ila yeye ndio hajibu, siku nyingine ilikua inapita siku nzima hajanitafuta.

Sasa juzi tarehe mbili akanipigia simu mida ya saa tisa alasiri akaniambia yuko safarini anarudi home kwao, nikamuuliza sasa simu umeitoa wapi umenunua njiani au? Akasema eti nilikua nakutania sikupotezaga simu nilikua nayo, nilikua nataka kukupima tu kama wewe ni mume mwema, nikamuuliza hivi inawezekanaje eti umpime mtu kwa kumwambia umepoteza simu asikutafute wewe ndo utamtafuta, unapima nini sasa? Akaniambia alikua anapima kama mimi ni mvumilivu, nikamwambia au ulikua kwa mwanaume akanijibu eti 'inawezekana'

Kwakweli mimi sikuhitaji kabisa kuendeleza majibizano nae nilikata simu na sikutaka tena mawasiliano naye, niliwaza kabisa huyu alikuwa kwa mwanaume ndio maana alikua hataki tuwasiliane usiku wala hakutaka mimi ndio niwe naanza kumtafuta.

Sasa nikachukua uamuzi wa kukaa kimya kukata mawasiliano nae tangu juzi ananitumia tu sms mimi sitaki kumjibu nimeshapata mawazo ya kumuacha kabisa,

Naombeni ushauri wakuu hata kama ungekua ni wewe ungefanyeje? Je, huu uamuzi niliochukua si ni sahihi maana hapa naona kabisa huyu dada alienda Dar kuliwa kabisa.
Piga chini huyo demu alienda kugegedwa
 
Mim kuna m1 namtesa had leo ..tumeachana toka 2013 na yuko nje ya nchi ila kila bday yangu ikifika hakosi kuniwish...aliombaa sana turudiane ila mim nna ego zangu sikukubali..according to rafik zake ni kwamba ananipenda sana na ndo mtu anaemtrust sana ...mim nilimkuta virgin..ila alinisumbuaga sanaa..kias kwamba nikasemaga huyu kwann anakua hiv tulipoachana nilimuahidi kwamba asitgemee kurud tena kwangu sabab haitowezekana tena...alifkiri natania sabab alijua nampenda sana...aftr a month tu alianzaga sumbua amenimiss..sasa alihis labda zile breakup na makeup zingeendelea..had leo haamin kama nlimuacha..anasemaga tu wew mwanaume ni katili sjawai ona.....kwamba nmegoma kurudiana nae...juz kanipigia simu whatsap tumeongea kama lisaa lizima hiv. Its my way of torturing her...kiukwel nilimpendaga sana...na iliniuma sana tulivyoachana...i kept her close ila request zake za kurudiana nilizikataaa zote...kuna siku tulionana baaada ya kama 4 yrs hiv..sasa nahis alihis tht day baaada ya dinner perhaps ningeenda lala nae .hakuamin alipoona namrudisha kwake usiku wa saa 6 ..hakuamin.alisema kwel unanirudisha home..duh..nmekubal...mim hapo nasema. Yeees .the plan won
We kula zigo hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom