Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Anaandika Comred Malisa Godlisten
Leo saa 5 hadi saa 6 mchana Ndugu Alphonce Lusako atakua na Mkutano na waandishi wa habari pale Landmark Hotel. Atazungumzia namna haki yake ya kupata elimu inavyodhulumiwa.
Atazungumza hatua za kisheria alizochukua na matokeo yake. Atazungumzia namna TCU walivyopigilia msumari maamuzi ya UDSM ya kumfukuza mara ya pili. Hii sio vita kati ya Lusako na UDSM au TCU.
Ni vita kati ya mfumo dhidi ya watanzania maskini wanaodhulumiwa haki yao ya kusoma kwa sababu zisizo na tija. Stand with Lusako today, stand on the side of Justice. Karibu Landmark Hotel, Ubungo saa 5 kamili asubuhi. [HASHTAG]#Justice4Lusako[/HASHTAG].!