[emoji121]
OOOOH!
OOOOOOH!
OOOOOOOOH!
YAANI SOO,
NIMEPATA DHAHABU TOKA
KARIAKOO,
MTOTO ANAVUTIA ILE KAMA
KIOO,
MTOTO ANAKOMESHA MPAKA
MABISHOO ...!!!
Mara ya kwanza nilikutana naye kiutani
Nikampa hi huku akinishika shavuni
Am a
Kanungila Karim a.k.a mpendwa na watu
Kwasababu mi naflow style zaidi ya tatu
Yeye kashtuka kanifagilia
Hakuamini kama 'Basi' nimewaimbia
Mshkaji mmoja hivi ndo uliofuatia
Mara akatikisa kichwa kifuani akaegemea
(Ghafla akaanza kulia)
Huku akinishika kwa hisia
(Wasiwasi ukanijia)
kumuona demu anaridhia
Anadai anazimika nnavyo flow
Nambusu mpaka mwisho, yaani naweka fullye
Hisia zangu kwenye muziki zinachoma
Ndo sababu kubwa iliyomfanya anipende sana
Mtoto mzuri ukimwona utampa heshima
Mi namuita dhahabu ndani ya kariakoo nzima