Yaani mimi mwenzenu leo sijui nina tatizo gani, kila mtu leo ananikasirisha, hata sielewi ni nini, sijui watu wameamua kunijaribu?!. Halafu kibaya zaidi kila kitu leo kimeenda ovyo toka asubuhi hadi sasa hivi. Yaani hasira ya almost siku nzima, yani one of those really bad days ndio am facing leo. Mungu anisaidie nilale hata na amani, au na kasmile hata kidogo.
asante Mzee23mjasiria ha haaaa!thank you for that comment, nimecheka! am guessing today wouldnt have been a good day anybody Mr Q kweli kabisa, imepungua kiasi, Fukara mmmmh, no not that
asante Mzee23mjasiria ha haaaa!thank you for that comment, nimecheka! am guessing today wouldnt have been a good day anybody Mr Q kweli kabisa, imepungua kiasi, Fukara mmmmh, no not that