Leo nimeumwa na nyuki

Leo nimeumwa na nyuki

Anapokutafuna huyo nyuki hufanya "n-ndaaaaan" halafu hukwambia mtu mzima hachokozi mtotoon.

Pole sana vipi masikio hayakuvimba?
 
Acha tu hawa wadudu!

Nimepita chini ya mzinga wa nyuki nikatikisa tawi. Acha waje kwa kasi aisee. Wanang'ata huku wanapiga kelele au sijui wanashangilia..

Walijipinda mno usoni na kwenye masikio na shingoni. Wengine walikuwa wanaingia ndani ya tshirt na suluari. Nilivua nguo nikawaachia! Nilijikuna na kuchomoa visindano vyao karibu saa nzima.Nimechukua nguo na ndo nafika home ila nahisi maumivu makali sana.

Achana na nyuki aisee!

View attachment 714883
Mkuu ivi ushawai umwa na nyigu au dondola maana wale ndo kiboko kuliko ivo vinyuki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom