Leo nimetongozwa na Binti mdogo tu

Alikuwepo kiongozi mmoja alitaka kuniweka jela kwa sababu flani na jela ningekwenda zaidi ya miaka 5. Kuna mtu akasema mwanaume anapenda ngono kuliko chochote duniani. Hasa wasichana ndio wanaume tunawapenda kwasababu ya nyama mbichi.

Yule kiongozi tuli mtengenezea mtego wa msichana wa chuo flani tukaset video tokea wame kutana mpaka wameingia chumbani. Mule kwenye chumba(gesti) tukalipa mhudumu hela defu tuweke spy camera, yule kiongozi akafanya yake. Siku ya mahakamani tukamtumia short clip ya ngono yake na yule kiongozi, akauliza nani wewe tukamjibu futa kesi leo. Au tunatuma video kamili kwa wife wako na mtandaoni.

Anapo kuja mwanamke mwenyewe bila ya wewe kumfata fikiria mara 2.
Mlimtafutia mwanamke, mkamtafutia gesti na akaenda hiyo gesti. Huyo kiongozi alikuwa mjinga sana. Kawaida mwanaume anapeleka mwanamke gesti hapelekwi..
 
Samahani lakini ....mkuu ivi ulisha wahi angaliaga nyota yako? Nimuhimu sana usipuuzie ..... KUNA NYOTA ZA JELA tena miaka 30 .... elewa comment yangu
Mzee mzima nipo hapa nakuchora tu
👇👇👇👇👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220713-115531_Instagram.jpg
    Screenshot_20220713-115531_Instagram.jpg
    163.5 KB · Views: 11
Wakuu,

Leo kuna binti kanifuata akasema ana jambo lake anataka kuzungumza na mimi.

Kwakua mimi huwa natoa ushauri wa kisheria basi nikajua nimepata mteja. Nikamwambia sawa ngoja nimalize shughuli tuzungumze. Sasa ananiambia kuwa ananipenda mno.

Na anataka nimpe jibu kama nimemkubali au la. Wakuu ndio kwanza nimepata katoto kadogo kana mapengo tu hata kuzungumza bado hakajui. Huyu naye ananiletea hadithi zake za mapenzi hapa naona ananichanganya tu.

Najua nikimkubalia nitaongeza mchepuko halafu niwe nalea mwanangu,mama yake,mimi, mchepuko namba moja ,mchepuko namba mbili na yeye pia.

Familia yangu itakua kubwa sana.
Mpelekee motooo
 
Mwambie asante ila umechelewa mie nimeshaoa na majukumu mengi pole ila nitajitahidi kukupatia wako kama watakupenda basi ni bahati au kama hawataki basi nitakuambia
 
Wakuu,

Leo kuna binti kanifuata akasema ana jambo lake anataka kuzungumza na mimi.

Kwakua mimi huwa natoa ushauri wa kisheria basi nikajua nimepata mteja. Nikamwambia sawa ngoja nimalize shughuli tuzungumze. Sasa ananiambia kuwa ananipenda mno.

Na anataka nimpe jibu kama nimemkubali au la. Wakuu ndio kwanza nimepata katoto kadogo kana mapengo tu hata kuzungumza bado hakajui. Huyu naye ananiletea hadithi zake za mapenzi hapa naona ananichanganya tu.

Najua nikimkubalia nitaongeza mchepuko halafu niwe nalea mwanangu,mama yake,mimi, mchepuko namba moja ,mchepuko namba mbili na yeye pia.

Familia yangu itakua kubwa sana.
Hako katombe tu halafu piga chini
 
Mm nimefatwa na kabint ka miaka 13 nikatamani dunia isimame nishuke kwanza
 
Kuna siku nilikuwa narudi zangu home kwenye daraja flan nikakutana na kabinti sikafahamu kalikiwa kwenye sare za shule nikakapita tu kufika mbele kakanismamisha kakanambia Nakupenda..,nikakaangalia nikaenda zangu...
 
Back
Top Bottom