Leo Nimetimiza post 3000...!!!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
Duh tangu 2007 yaani leo ndo natimiza posts buku 3. Nimeona mengi sana tangia kitambo hicho cha JamboForums, nimesoma mada nyingi sana...God is always Great!!

Tuko pamoja sana!!
 
afadhali wewe, safi sana... kuna watu hapa anaingia january-february ana post 3000 tayari... sijui hawafanyi kazi zingine?
 
Duh tangu 2007 yaani leo ndo natimiza posts buku 3. Nimeona mengi sana tangia kitambo hicho cha JamboForums, nimesoma mada nyingi sana...God is always Great!!

Tuko pamoja sana!!

Hongera Mkuu. Wewe ndio G.T. Kama aliyenitangulia kusema, kuna watu wamejiunga miezi miwili tu lakini wana post zaidi ya elfu tatu. Big up.
 
safi sana hongera, unaweza ukawa na post nyingi lkn hazina msingi.
 
safi sana hongera, unaweza ukawa na post nyingi lkn hazina msingi.
Sure man...am happy today!!

Hongera zako na sisi tuko NYUMA yako.
Haya bana, I knw 1 day utatimiza tu...thanx!!

ok. Hongera. Uje kesho kijiweni uchukue zawadi yako.
Hahaaaahaa...kijiwe gani hicho?? najua itakuwa bia tu...lol
Hongera mkuu!
Thanx mkuu...welcome
Hongera Mkuu. Wewe ndio G.T. Kama aliyenitangulia kusema, kuna watu wamejiunga miezi miwili tu lakini wana post zaidi ya elfu tatu. Big up.
Hahaaaa I knw those people..yaani we acha tu, nadhani wanakesha JF
afadhali wewe, safi sana... kuna watu hapa anaingia january-february ana post 3000 tayari... sijui hawafanyi kazi zingine?
Hahaaaaa, ukute wana kazi bt wamekuwa addicted tu, so always time is money lakini member wa dizain hiyo..sijui tuwaweke kundi gani...! 1months post 4000+ lol
Mazee hongera puliza basi mshumaa !
Ngoja niuwashe kwanza, manake ulizimika

Akhsanteni woooooote kwa ujumla!!
 
afadhali wewe, safi sana... kuna watu hapa anaingia january-february ana post 3000 tayari... sijui hawafanyi kazi zingine?

Hiyo inawezekana sana ila je ni post zenye thamani? Mtu anaingia kwenye jukwaa la jokes kwa mfano. Akisoma joke nzuri anachangia kwa kuandika: teh teh teh kwi kwi kwi. Kamaliza hapo, na counter ya JF ina hesabu kwamba katoa post. Hapa simsemi Sizinga ila natoa tu mfano wa jinsi post zinavyohesabiwa hapa JF

Kwa Sizinga nampa hongera sana maana kati ya hizo post anazosherehekea kuna moja niliipenda sana kwenye jukwaa la Science and tech gadgets.Hiyo post niliiweka kwenye HD yangu ili inisaidie mbele ya safari.
Congrats Sizinga and happy easter!
 
hongera mwana. Ni bora kuwa na post chache (ukilinganisha na muda) lakini zenye kujenga kuliko kuwa napost lukuki afu 95% ziwe utumbo.
Keep the spirit up!
 
Back
Top Bottom