Leo nimetembelea Addis Ababa

umemuliza shemeji ni kwa nini wahabeshi wengi hukamatiwa bongo wakiwa njiani kitorokea ughaibuni?
 
Ethiopia ni moja ya nchi zinazoongoza barani Africa kwa kutahiri wanawake, angalia jedwali hili hapa chini

Mtoto wa kike akifanyiwa tohara nchini Ethiopia, katika kundi la wasichana 100 wasichana 74 wametahiriwa.
 
Natamani niwe chatu niwameze... Hii picha unaweza kuiangalia siku nzima bila hata kupepesa macho pembeni.. Katavi nawewe si upo huko? Leta mambo
 
Last edited by a moderator:
Kwani ni mara ya kwanza natembea na mademu wa Ethiopia?

Unaweza kusema unavyotaka na kujiridhisha lkn ninavyojua hawawezi kukubali labda wale malaya wakujiuza na tena watakuchaji hele nyingi zaidi!
 
Unaweza kusema unavyotaka na kujiridhisha lkn ninavyojua hawawezi kukubali labda wale malaya wakujiuza na tena watakuchaji hele nyingi zaidi!

we huna nia nzuri na mwenzio,yeye kasema anataka wadada wa Addis kachoka na dada zetu wa CBE,hata ukija mademu wapo tu tena wanashoboka sana kwa foreigners,mi isingekuwa shemej yenu basi ningechapa hata zaidi ya kumi
 
Nimefanya nao kazi Bahrain 2010 yaani wana urembo wa asili na hata ktk vitabu vitakatifu wamo,mfalme suleimani alishindwa kuvumilia alichanganyikiwa!akawaoa kwa fujo!
Dah nabii suleiman alifaidi kweli!! Wake 700 na masuria 1000!! Kila siku alikuwa anapiga wangapi!! Dah kweli alikula mema ya nchi..
 
Natamani niwe chatu niwameze... Hii picha unaweza kuiangalia siku nzima bila hata kupepesa macho pembeni.. Katavi nawewe si upo huko? Leta mambo
Hahahaaah,,,,,,,dogo ni noma huko. Hayo mambo yako nadhani wewe tutakupoteza ukitia maguu huko. Jamaa yako alinipeleka mitaa kuliko na hivyo vifaa, ni noma.
Picha tu inakupagawisha, je ukiwaona laivu........!!!
 
we huna nia nzuri na mwenzio,yeye kasema anataka wadada wa Addis kachoka na dada zetu wa CBE,hata ukija mademu wapo tu tena wanashoboka sana kwa foreigners,mi isingekuwa shemej yenu basi ningechapa hata zaidi ya kumi
Kweli aisee, Addis panapendeza sana, kuna kiwanja nilipita nikaambiwa kuna watalii kutoka ulaya wanaenda hapo kwa kazi ya kufanya mapenzi tu na kuwatazama mabinti wa kiethiopia.
 
Gharama na taratibu za kufika huko zikoje ili tukapazuru????

Naomba unipatie full information za visa, nauli, hotels na yote yanayohusiana na safari ili nijipange ikiwezekana nitie timu mwezi ujao.

Thanks

Watu kwa mbwembwe hamjambo, usikute hapo hata chai hujanywa na nauli ya kutoka mbagala kwenda ubungo tu ni mpaka usubiri mjomba aje halafu unataka kwenda ethiopia.
 
Maneno matupu hayavunji mfupa, picha mbona hutumi zaidi ya kusifia, sana sana wengine ndio wanakusaidia kutuma, tunataa pich zako unazotuma LIVE

Ukiona mtu analeta mbwembwe kama hizi mtandaoni ujue anasindikiza kwa macho tu, maji yakizi unga ndio anaingia mtandaoni kujifurahisha kwa kusema yaliyo moyoni mwake maana nje hawezi kusema.
 
Hahahaaah,,,,,,,dogo ni noma huko. Hayo mambo yako nadhani wewe tutakupoteza ukitia maguu huko. Jamaa yako alinipeleka mitaa kuliko na hivyo vifaa, ni noma.
Picha tu inakupagawisha, je ukiwaona laivu........!!!
Kwa kweli wanavutia....ntaenda hata kwa baiskeli...kama yule chalii wa Arusha anazunguka dunia kwa baiskeli mi ntashindwa hapo Ethiopia tu? Najua ntapata tabu njiani ila reward yake nikifika ntasahau shida na mimba zitatungwa...
 
hahahaha kelele nyingi humu kumbe we ni mshamba hivi asee.. Hata leggins huzijui??

Kama demu/mke wako hakuvalii angalia hata porn basi utaona wale pornstars wanazipenda sana hizo

Weka ushahidi kuthibitisha kama wamevaa leggins.
 
Natamani niwe chatu niwameze... Hii picha unaweza kuiangalia siku nzima bila hata kupepesa macho pembeni.. Katavi nawewe si upo huko? Leta mambo

Wanavyong'aa! Ila inasikitisha tu kwamba waweza kuwa wamefanyiwa FGM!
 
Last edited by a moderator:

Natamani niwe chatu niwameze... Hii picha unaweza kuiangalia siku nzima bila hata kupepesa macho pembeni.. Katavi nawewe si upo huko? Leta mambo

Huyo wa kati huyo, unaweza kuhonga nyumba kabisa.
 
Last edited by a moderator:
 
Watu kwa mbwembwe hamjambo, usikute hapo hata chai hujanywa na nauli ya kutoka mbagala kwenda ubungo tu ni mpaka usubiri mjomba aje halafu unataka kwenda ethiopia.

Hakuna ubaya.

Hapo ndo mwisho wako wa kufikiri.

Pole sana
 
Mkuu usinifanye nichukue mkopo FINCA leo hii😕
Ha Ha Ha Falcon Mombasa Umeleta Mambo hapa. Ukweli wenzetu wana nidhamu ya kazi , kuanzia cheo cha juu mpaka wagfagizi. Customre Care wanajitahidi(Mi nilikuwa huko May). Wahudumu wa hotel wana nidhamu na kukuchangamkia kwa kweli. Wakikuona unashangaa shangaa wanakuuliza kama una shida gani ( pamoja na kuwa si kwamba wanafahamu saana Kiingereza) kwa kweli jamani Customer care Tanzania tunatia aibu. Halafu jinsi wanavyomjua Mwl. Nyerere ( tena vijana tu) nilishangaa wakati huku sisi baadhi ya vijana wala hawaijui Historia yake!
Tatizo tu Ethiopia ilifanyie kazi kuhakikisha huu umasikini uliokithiri kwa watu fulani unatoweka ndio unaosababisha watu kukimbia nchi yao. Pamoja na challenge ya population kubwa they have to do something.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…