falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
Wakuu nipo Addis Ababa, hapa nimekuja kumtembelea shemeji/wifi yenu, walahi nawaambia sikutegemea wala sikufikiria kukuta maendeleo kama haya.
Jiji limejipanga hata flyovers za kueleweka, halafu kuna hizi treni sijui za umeme manake nashindwa hata niwaelezeje, wenzetu National Housing zao zipo za watu wa hali ya chini pia.
Jamani Addis Ababa ni shughuli nyingine.
Jiji safi sana, aise hivi Tanzania imekosa nini hadi kila kitu kishindikane?
Picha zinakuja soon.