Leo nimesikia aibu sana

Kingereza ni lugha ya kibiashaara some time ni Muhimu kukijua
 
Haha haha mtoto wa Lutembo anatusababishia foleni
 
Uzi huu sio tena wa dada alieongea English bali ni wa mwana jf aliekosea matamshi ya kingereza is ntiti😁😁🤭🤣
 
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quit, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.

Kuna mazingira ukiongea kiingereza unakua unadhalilisha watu na kujizalilisha mzee saloon Sokon tandale ama kwenye daladala umuongeleshe konda ni ufalas huo [emoji51]
 
Kuna mazingira ukiongea kiingereza unakua unadhalilisha watu na kujizalilisha mzee saloon Sokon tandale ama kwenye daladala umuongeleshe konda ni ufalas huo [emoji51]
Hapo utakua kichaa ukienda kwa mama tilie au kwa konda ukaongea kiingereza, ila supermarket bar shule gym sioni kama kuna tatizo.
 
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quit, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
Na hiki ndicho kiingereza cha ofisini kwako mkuu?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…