Leo nimepiga mwanamke

Leo nimepiga mwanamke

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,418
Jamaa yangu kanisimulia;

:=> Kwa asili mimi ni kurya lakini modern one....nimekua tangu utoto mpaka umri huu katika familia yenye upendo na amani.Pamoja na wazazi wangu wote kuwa wakurya haijawahi kutokea baba akanyanyua mkono wake kumwadhibu mama hata wakati mwingine nilipoona mama anakosea na alipaswa kuadhibiwa.

Kutoka na upendo wa baba nilijikuta na mimi nikijiwekea malengo ya kutonipiga mwanamke wangu kabisa maana baba alishaniambia kupiga sio suluhisho la matatizo.

Baada ya kuoa nimeamua kuwa na tabia kama ya baba mpole na mpenda familia yangu, nimefanya hayo ili niwe na happy family kama ya baba yangu.

Kwa siku za karibuni mke wangu amekuwa na kiburi sana jamani, ananijibu kunya na sometime anafikia kunitukana mbele za watoto na hata wageni.

Nimeshamkanya sana anahidi kubadilika lakini binti wa kichaga huyu kadri siku zinavyosonga ndo anazidi kuwa matatizo.

Kwa bahati mbaya sipendi kabisa mambo ya kusuluhishwa kwa sababu naamini mnapakuwa wamoja basi ni vizuri mkigombana mnayamaliza wenyewe na sio kila mtu ajue kwa maana hiyo sijawahi peleka shitaka kwa mtu yoyote yule.
Jana usiku amerudi sa tano usiku na kunikuta nishawapikia watoto wamekula wamelala.

Akanikuta sebuleni naangalia TV huku namsubiri nilipomuuliza kiupole kuwa ametoka wapi? Muda huo

Alinijibu vibaya sana ambavyo hata siwezi kuelezea nilijikuta nafukuta kwa hasira za ndani ila nikajicontrol na kwenda kulala.

Sasa tatizo akaja chumbani na kuendelea kunitolea lugha chafu mpaka akafikia kunitukania wazazi nilijikuta hasira imenishika sana nikampiga kofi moja mpaka akalamba ardhi.

Alipoinuka akaja ili tupambane, aiseee nilimpiga kipigo cha mbwa mwizi maana nilipokuwa nikitaka tuache kupigana yeye ndo anazidisha.Mpaka sasa kalala analia tu hata uwezo wa kuamka hana.

Kiukweli nashindwa cha kufnya maana hata akienda kushtaki sina cha kujitetea maana sijawahi ripoti mabadiliko yake kwa yoyote.

Nishaurini nifanyeje? Na bado nampenda?

Zingatia sio kwa sababu ni mkurya ndo maana nimepiga hapana hata ungekuwa wewe ungefikia nilipofikia.

Tumpe ushauri wakuu atausoma.
 
Wazazi wahusishwe sio kitu kidogo hicho na hiyo ya kupenda kukaa kimya itakuponza
Hapo ndo anapowazia kuwa hajawahi mwambia mtu chochote na leo kampiga inamaana akienda shitak hatakuwa na cha kujitetea na mwanamke ataonekana hana hatia
Duh kweli hapo tatizo siyo ukurya mana c kwa kiburi icho
 
Jamaa yangu kanisimulia

:=> Kwa asili mimi ni kurya lakini modern one....nimekua tangu utoto mpaka umri huu katika famili yenye upendo na amani.
Pamoja na wazazi wangu wote kuwa wakurya haijawah kutokea baba akanyanyua mkono wake kumwadhibu mama hata wakati mwingine nilipoona mama anakosea na alipaswa kuadhibiwa.

Kutoka na upendo wa baba nilijikuta na mimi nikijiwekea malengo ya kutonipiga mwanamke wangu kabisa maana baba alishaniambia kupiga sio suluhisho la matatizo

Baada ya kuoa nimeamua kuwa na tabia kama ya baba.....mpole na mpenda familia yangu....nimefanya hayo ili niwe na happy family kama ya baba yangu

Kwa siku za karibun mke wangu amekuwa na kiburi sana jaman.....ananijibu kunya na sometime anafikia kunitukana mbele za watoto na hata wageni.

Nimeshamkanya sana anahid kubadilika lakini binti wa kichaga huyu kadri siku zinavyosonga ndo anazidi kuwa matatizo

Kwa bahati mbaya sipendi kabisa mambo ya kusuruhishwa kwa sababu naamin mnapakuwa wamoja basi ni vizur mkigombana mnayamaliza wenyewe na sio kila mtu ajue...kwa maana hiyo sijawahi peleka shitaka kwa mtu yoyote yule.
Jana usiku amerudi sa tano usiku na kunikuta nishawapikia watoto wamekula wamelala

Akanikuta sebulen naangalia tv huku namsubiri....nilipomuuliza kiupole kuwa ametoka wapi? Muda huo

Alinijibu vibaya sana ambavyo hata siwez kuelezea....nilijikuta nafukuta kwa hasira za ndani ila nikajicontrol na kwenda kulala

Sasa tatizo akaja chumbani na kuendelea kunitolea lugha chafu....mpaka akafikia kunitukania wazazi....nilijikuta hasira imenishika sana nikampiga kofi moja mpaka akalamba ardhi.

Alipoinuka akaja ili tupambane....aiseee nilimpiga kipigo cha mbwa mwizi maana nilipokuwa nikitaka tuache kupigana ye nd anazidisha

Mpaaka sasa kalala analia tu hata uwezo wa kuamka hana.

Kiukweli nashindwa cha kufnya maana hata akienda kushtaki sina cha kujitetea maana sijawah ripoti mabadiliko yake kwa yoyote..

Nishaurini nifanyeje? Na bado nampenda?

Zingatia sio kwa sababu ni mkurya ndo maana nimepiga hapana hata ungekuwa wewe ungefikia nilipofikia

Tumpe ushaur wakuu atausoma
hakikisha una mkanda wako mzuri wa ngozi,mimi kwangu wote huwa ni bakora tu kuanzia wife,house girl na watoto,yaani wote wananiheshimu ile mbaya.usimpige kichwani mkuu utaenda kugombaniwa segerea muda sio mrefu.
 
Bila shaka utakuwa ni Pacha wake na Koffi Olomide ila tu makazi yako yapo huku nchini Tanzania. Quel est ton problem?
 
Kati yako na mkeo ni yupi anapata kipato kikubwa??..maana nimeona wewe ndio wapika..!
Katika hali ya kawaida kabisa huyo mkeo ana kajamaa kake nje ndio kanafanya hadi wewe unadharaulika..
 
Lazma kuna kitu nyuma ya pazia mkuu..ebu kaa nae chini muulize kwa upendo kwa nn anafanya hivo???yaezekana hukumpa haki yake ipasavyo kama mume,kwa hivo dharau,na maneno machafu yakamuanza,na huenda kapata wa kumtia kiburi..mchunguze na wew ujichunguze.pole sana
 
atakuwa anachepuka tu, hivi mpaka saa 5 hajarudi nyumbani ! da huyo anastahili kipondo tu
Usiseme anastahili kipondo... jiulize kwann anachepuka wakati hakua Na tabia hiyoo?? Inaonekana ameanza mda si mrefu. Labda mwanaume ndo tatizo. there must be a very big reason behind
 
Hapo ndo anapowazia kuwa hajawahi mwambia mtu chochote na leo kampiga inamaana akienda shitak hatakuwa na cha kujitetea na mwanamke ataonekana hana hatia
Msiwahusishe wazee kwanza... anzeni ninyi mkiona ngumu go to another stage
 
hakikisha una mkanda wako mzuri wa ngozi,mimi kwangu wote huwa ni bakora tu kuanzia wife,house girl na watoto,yaani wote wananiheshimu ile mbaya.usimpige kichwani mkuu utaenda kugombaniwa segerea muda sio mrefu.
Kakuambia nani kichapo kinafundisha???unawajengea roho ya woga Na sio heshima.. stop that n change mkuu..it's not a proper way of treating ur famil
 
Sifa ya kwanza ya kuwa mume bora ni jinsi unvyo control hasira zako .

We imagine haya maisha boss ana kuudhi bila sababu halafu anakutimua kazi.
Mtu kalewa halafu anaendesha gari na kumgonga mama mjamzito/ mtoto au mtu asie na hatia .
Mzazi anatekeleza watoto wake . Watoto wana gangaama na maisha na kujitoa baadaye huyo mzazi anarudi watoto wangu ooohhh nisaidieni.
Watu wanaoana wako safi miezi kadha mmoja anajikuta na NGOMA na kumuambukiza
Mweza wake . Etc

Sasa hembu we fikiri kila mtu angekuwa na hasira za kipimbavu kama hizo zako dunia ingekuwaje Leo hii ??

Napenda kukusisitiza kumpiga mwanamke ni BIG NO. Kama we kweli ni mwanaume hasa piga ukuta.
 
Kati yako na mkeo ni yupi anapata kipato kikubwa??..maana nimeona wewe ndio wapika..!
Katika hali ya kawaida kabisa huyo mkeo ana kajamaa kake nje ndio kanafanya hadi wewe unadharaulika..
Mwanaume ndo anakipato kikubwa maana anamiliki biashara na mkewe kamfungulia duka la vifaa vya ujenzi
 
Back
Top Bottom