Leo nimemvulia pendo rasmi Manka

Hako ka-Manka ni kafala sana mimi hadi sahivi ninayo namba yake sahivi hakajibu sms zangu.

apple langu na chocolate kamekula sasa nasema hiviiii nitakaloga kapumbavu kabisa

sema hakajui kuvaa umedanganya
ila kako first year
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we dogo hakuna nguo inamkataaa yulee hata avae guniaa
 
Hako kademu nilikutana nacho Samora hall ila kanapenda kusomea fundikira jioni
daaah we jamaa mbona kama unamjuaa hivi ni fundikira na ntare ndo maeneo yake, unaweza guess initial ya first name yake
 
Sasa Samwel hiki ndio nikichokutuma chuo jpili uje tukae kikao na ndugu zako wote shezii
 
daaah we jamaa mbona kama unamjuaa hivi ni fundikira na ntare ndo maeneo yake, unaweza guess initial ya first name yake
hadi namba yake ninayo mzee hako kademu kamenitesa sana mimi hakajibu text zangu ila huu uzi wako umenipa moto

naanza kukatongoza rasmi sasa au unataka nikutajie kozi yake kabisa

ila kapeleke Cafteria pale siku mbili tatu hakatachomoa
 
ahaha we jamaaa ntajie rafiki yake anaitwa nan basi au hostel anayoishi
 
Mdogo wangu huko uliko chuo endelea kusoma,ikiwezekana fanya ujasiliamali ukiwa huko chuo. Hawa wanafunzi wa chuo wako miaka 18-26 hivi, kundi hili litakusumbua. wana wapenzi wengi walio waume za watu na ndiowanao wazuzua, wewe wanakuona kituko.
Ukiisha zipata fedha zako,watakuja wenyewe. Naam ndio muda wako na wewe wa kutumia na kuacha.
 
umeongea point sana kaka,kuna jamaa ashawahi sema kwenye uzi fulani kuwa kudate na Hawa under 25 ni balaaa bora abive kidogo washaupiga mwingi sasa wanaamua kusettle. Nimekupata kaka yangu ,asante.
 
25 hapana hujafika
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…